Uongozi Simba SC unatuchezea mchezo mashabiki na Wanachama utakaomwangukia Kocha. Hii Februari ni vilio kwetu

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
21,058
Reaction score
36,272
Habari zenu wana Simba.

Hakika hiki wanachofanya uongozi ni hujuma kwetu, ni kitendo cha kuja kupoza maumivu yetu wana thimba. Hii Februari naona ni vilio vimetawala kwetu.

Utawala umeshaona kuwa kwa timu hii ya sasa, hatuwezi kutoboa michuano ya CAF, na GSM na Yanga yake wanaenda kubeba tena kombe la Ligi kwa mara pili (Naomba nisiongee maumivu tutakayoyapata dhidi ya Mwananchi kwenye derby).

Walichokifanya uongozi ni kutuletea kocha mbrazili ili akichemka ktk michuano ya CAF basi lawama zisitupiwe kwa uongozi bali kwa kocha. Wametuona vilaza, wanaamini sisi kweli ni makolo, walaaniwe viongozi.

Tuombe TFF iingilie kati tupewe viporo hata 7 walau tuweze kupumua, ee baba karia tuokoe, twafaaa, tupe viporo ili tuishi.

Nimemaliza.
JamiiForums-1755885509.jpg
 
Nimemaliza.View attachment 2502599
Hizi kelele achana nazo,hao viongozi unaowaona wanahujumu timu ndio waliopigiwa kura nyingi.
Au we unaweza kuwa utopolo maana sie wengine tumeachana na hii timu kwa sasa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tutakuja sasa hivi tuko bize na Sportpesa na Yanga

Ila Tanzania raha sana kampuni inapata fursa ya kutangazwa bila kulipa tangazo maana wiki nzima hii sportpesa ataongelewa kwenye vituo mbalimbali bure kabisa.
 
Yaani mpaka Manzoki ameletwa kwenye Mkutano wa uchaguzi kuwalaghai wanachama wa Simba, bado tu una shaka na maneno ya mwenyekiti mstaafu Alhaji Ismail Aden Lage.
Maneno ambayo aliyatamka kwenye Mkutano wa wanachama wote!!
Kitendo Cha Manzoki kuwepo kwenye Mkutano wa Uchaguzi maanayake ni kupigilia msumari maneno ya Lage, Wala huitaji kwenda Quba kulielwa ilo.
 
Habari zenu wana Simba.

Hakika hiki wanachofanya uongozi ni hujuma kwetu, ni kitendo cha kuja kupoza maumivu yetu wana thimba. Hii Februari naona ni vilio vimetawala kwetu.

Utawala umeshaona kuwa kwa timu hii ya sasa, hatuwezi kutoboa michuano ya CAF, na GSM na Yanga yake wanaenda kubeba tena kombe la Ligi kwa mara pili (Naomba nisiongee maumivu tutakayoyapata dhidi ya Mwananchi kwenye derby).

Walichokifanya uongozi ni kutuletea kocha mbrazili ili akichemka ktk michuano ya CAF basi lawama zisitupiwe kwa uongozi bali kwa kocha. Wametuona vilaza, wanaamini sisi kweli ni makolo, walaaniwe viongozi.

Tuombe TFF iingilie kati tupewe viporo hata 7 walau tuweze kupumua, ee baba karia tuokoe, twafaaa, tupe viporo ili tuishi.

Nimemaliza.View attachment 2502599
Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja kwa 100%
 
Na tusipolia wewe ni pumbaf.

Nakuhakikishia utalia wewe utopolo lialia gongowazi.

Mashabiki wa Simba hawana upumbav wa kulalamika na kulialia.
 
Hao viongozi unaoona wanatuchezea akili ndio waliofikisha simba hatua ya makundi CAFCL huku nyie wanuka kinyesi mkiishia kombe la waliofeli (CAFcc).

Hivyo endelea tu kujisafisha kinyesi kuepuka aibu ya kutembea unanuka kinyesi makalioni.
6d6e4af142592f4283113d3114eead0f.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Na tusipolia wewe ni pumbaf.

Nakuhakikishia utalia wewe utopolo lialia gongowazi.

Mashabiki wa Simba hawana upumbav wa kulalamika na kulialia.
Kwanza ijumaa tu hapa nina wasi wasi vilio vikaanzia hapo kwa mkapa,ila marefa wengi huwasitiri pindi waonapo jahazi lenu linazama,pengine tutegemee tena Penati,au red card au vyote kwa pamoja kama ilivyo kawaida yenu na waamuzi wetu hawa
 
Habari zenu wana Simba.

Hakika hiki wanachofanya uongozi ni hujuma kwetu, ni kitendo cha kuja kupoza maumivu yetu wana thimba. Hii Februari naona ni vilio vimetawala kwetu.

Utawala umeshaona kuwa kwa timu hii ya sasa, hatuwezi kutoboa michuano ya CAF, na GSM na Yanga yake wanaenda kubeba tena kombe la Ligi kwa mara pili (Naomba nisiongee maumivu tutakayoyapata dhidi ya Mwananchi kwenye derby).

Walichokifanya uongozi ni kutuletea kocha mbrazili ili akichemka ktk michuano ya CAF basi lawama zisitupiwe kwa uongozi bali kwa kocha. Wametuona vilaza, wanaamini sisi kweli ni makolo, walaaniwe viongozi.

Tuombe TFF iingilie kati tupewe viporo hata 7 walau tuweze kupumua, ee baba karia tuokoe, twafaaa, tupe viporo ili tuishi.

Nimemaliza.View attachment 2502599
Wewe siyo shabiki wa Simba usitupange.
 
Kwanza ijumaa tu hapa nina wasi wasi vilio vikaanzia hapo kwa mkapa,ila marefa wengi huwasitiri pindi waonapo jahazi lenu linazama,pengine tutegemee tena Penati,au red card au vyote kwa pamoja kama ilivyo kawaida yenu na waamuzi wetu hawa
Kesho tutatafutana pale kwa mkapa, uongozi ufanye haraka sana muamala usome kwa refa mapema kabla hatujadharirika.
 
Na tusipolia wewe ni pumbaf.

Nakuhakikishia utalia wewe utopolo lialia gongowazi.

Mashabiki wa Simba hawana upumbav wa kulalamika na kulialia.
Mkuu umesahau kuwa kabla ya tff kuwa upande wetu miaka ya hivi karibuni pamoja na ndumba, miaka yooote iliyopita sisi ndo tulikuwa lialia.

Na nnakuhakikishia, tuna miaka kadhaa mbele ya kulia kila siku mbele ya mtani wetu.
 
Back
Top Bottom