Kilicho nishangaza ni akili ndogo za huyo Prof. Vice Chancellor wa UDOM. Eti kama tuna taka kuona Thesis za Mawaziri twende UDOM!! Huyu ni Prof. au upumbavu!! Karne ya 21 watu mil 12 twende UDOM eti kusoma Thesis za akina PhD fake akina Dotto!! Vyuo vyote duniani. PhD Thesis za Graduates huwa published ONLINE ktk Website ya chuo husika. Iweje UDOM hawataki kuweka ktk Website ili hali website wanayo? Wanaficha nn?
Pili, level ya PhD mtu hawezi Publish paper 1 tu matakwa ni 2.
Tatu, kwa level ya PhD huwezi publish ktk local journal (MoCU) matakwa ni International Journal.
Hawa ma profesa wazee Wastafu tu. Memory zimeshuka sana.