Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
WEWE unaijua PhD kweli?? Au unatania?? Acha utani na Elimu ile bana...Unadhani Hiyo ni kucheza rede...msilete mchezo nyie...Ujanja ujanja ....ndio mana unakutana na Madk wenu mchongo very shallow...PhD by Thesis unaweza kuikamilisha hata kwa miaka miwili tu, inategemea commitment msimamizi na mtahiniwa mwenyewe. Pia inategemea research design na scope ya utafiti husika. Unaweza kupata PhD kirahisi ikiwa title na study yako ni ngumu au rahisi kwa kiwango gani
Kwa mtahiniwa wa PhD ni vizuri kuzingatia hayo, study yako ifanye iwe rahisi iwezekanavyo katika upatikanaji wa data na topic iwe straight na simple.
Vv