Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

Wanaamini watanzania wote ni mbumbumbu,hatujua kufuatilia mambo.
Hivi inawezekanaje ukute machapisho wa wahitimu wengine ukose la waziri,yeye ni hakua mwanafunzi,why amehitimu?!

Kwa mifumo hii tusitegemee kuwa na Bunge lenye Meno,linaloweza kutafsiri na kutunga sheria zenye malengo ya kuistawisha nchi na wananchi.

Elimu ya bongo,tumepigwaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa nini machapisho yao yasiwekwe mtandaoni kila mtu ajisomee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena amejipambanua wazi wazi ktk kutetea uongo huu mubashara, eti watu waende maktaba ya chuo, lol.
Aweke mtandaoni ili hata aliye kuwepo Cuba ajionee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Haendani kabisa na uongo huyu baba..
Anajidhalilisha na anakidhalilisha chuo chetu[emoji1][emoji23]
 
Ndiyo waende huko udom [emoji23][emoji23]

Jamaa wana akili wanajua fika hakuna mtu akataye tia mguu

Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi hii ngumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi hii ngumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima tuukubali mziki wa ccm

Ndomana wengine tumeamua kuwa watazamaji

Tunatii mamlaka tu

Ova
 
Back
Top Bottom