GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu.
Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv ilikuwa imeweka Camera za Siri kusikiliza Wachezaji wa Yanga SC na Viongozi wao wanachoongee Vyumbani siyo Kuichafua Brand ya Azam?
Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Wamevumilia mengi Uwanja wa Azam Complex Chamazi kwani Wamiliki wa Uwanja walikuwa Wakiwaroga mno huku siyo Kuchafua Kampuni na hata Klabu husika ya Azam FC?
Ila Azam FC na Azam Media acheni leo yawakuteni kwani wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums tulishawaonya sana nyie kuwa na Urafiki na Klabu ya Yanga kwa Gharama ya Kuiumiza / Kuihujumu Simba SC na mlikuwa mkifurahia (hasa kupitia Msemaji wenu Hashim Ibwe) huku mkisahau kuwa hakuna Watu Wanafiki na wasiokuwa na Shukran kwa Jambo lolote Jema utakalowafanyia kama wana Yanga SC duniani kote.
Tajiri Yusuph Bakhressa Kazi Kwako.