Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Aisee hii ni kali
, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi?
Aisee nimelia sana

. Nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu! Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nyie ndio wa kumfanyia hivi mama kweli?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
CCM leo mmejitoa mhanga kusema ukweli kuwa mnachoweza ni comedy tu, ila suala la kuongoza serikali limewashinda?
Mama sasa hivi hatoshi, amebaki kutuchekesha tu?

Bango lipo kona ya St. Peter Dar
Afu mwenye bajaji atakua mwana wa Lissu😂😂🤣 alijua kujipitisha muda sahihi, mpaka the Universe is consipiring against CCM
.....nazidi kulia kwa huzuni

.
Aisee hii ni kali
, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi?Aisee nimelia sana

. Nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu! Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nyie ndio wa kumfanyia hivi mama kweli?Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025