Pre GE2025 Uongozi wa CCM chini ya Rais Samia umechokwa na kuwa kituko mpaka wanatumia mabango ya Comedy "Cheka na Samia"?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Aisee hii ni kali :BearLaugh: :KEKLaugh:, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi?

Aisee nimelia sana:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:. Nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu! Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nyie ndio wa kumfanyia hivi mama kweli?

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CCM leo mmejitoa mhanga kusema ukweli kuwa mnachoweza ni comedy tu, ila suala la kuongoza serikali limewashinda? :PeepoRunCry:

Mama sasa hivi hatoshi, amebaki kutuchekesha tu?:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

View attachment 3234951
Bango lipo kona ya St. Peter Dar

Afu mwenye bajaji atakua mwana wa Lissu😂😂🤣 alijua kujipitisha muda sahihi, mpaka the Universe is consipiring against CCM:BearLaugh:.....nazidi kulia kwa huzuni:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:.
Vitu vya hovyo kama hivi duniani vipo tu Tanzania
 
NAHILI NALO MKALITIZAME
 
Mama ni lulu ya Watanzania,kila mtanzania mwenye akili anaona fahari kuweka picha ya Mama katika matangazo yake,Comedy ni kazi kama kazi nyingine
2025,Tupo na Mama
 
Wakuu,

Aisee hii ni kali :BearLaugh: :KEKLaugh:, chawa ndio mmechoka mama kiasi hiki mpaka mmemuweka kwenye bango la comedy? Kwahiyo mmekubali kuwa uongozi wake ni kituko mpaka mmefanyia hivi?

Aisee nimelia sana:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:. Nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu! Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nyie ndio wa kumfanyia hivi mama kweli?

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CCM leo mmejitoa mhanga kusema ukweli kuwa mnachoweza ni comedy tu, ila suala la kuongoza serikali limewashinda? :PeepoRunCry:

Mama sasa hivi hatoshi, amebaki kutuchekesha tu?:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

View attachment 3234951
Bango lipo kona ya St. Peter Dar

Afu mwenye bajaji atakua mwana wa Lissu😂😂🤣 alijua kujipitisha muda sahihi, mpaka the Universe is consipiring against CCM:BearLaugh:.....nazidi kulia kwa huzuni:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:.
Maana yake ni kwamba ukicheka na nyani utavuna mabua. Mabua yenyewe ni mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu zinazotumika kila siku mfano sukari, mafuta ya kula, nauli za daladala na mabasi ya mikoani, kodi zisizokuwa na kichwa wala miguu mfano unalipwa mshahara wa 300K unakatwa payee tax, ikiwekwa kwenye akaunti yako ya benki wakati unatoa unakatwa tena na benki halafu VAT na tozo za serikali, ukienda kunununua sukari kwa mshahara huo huo uliokatwa payee tax. tozo unakatwa tena kodi hapo dukani kwa sababu ile bei ya sukari imeshajumlishiwa na kodi humo humo. Sijui kama kuna mtu mmoja au wawili wananielewa.......au niendelee?
 
Hii nchi imefika sehemu mbaya sana. Kwa wenye akili popote walipo. Ni lazima CCM ilazimishwe tupate Katiba Mpya sasa ili tuondokane na huu upuuzi wa kuabudu watu na kujenga kizazi wa wajinga na machawa.

This country is now a failed state.
Haha
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Hao uliowataja kazi yao ni nini?🤣🤣 leo mmefanya mama comedian? Amekuwa kituko? Kutoka raia wa kwanza hadi comedian, ni zaidi ya fezea.... mnazidi kunitia huzuni na kunifanya nilie kwa kugalagala kama Jenista Mhagama:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:
Hakuna unachojuwa kuhusu uchumi na michango ya sekta mtambuka katika kujenga uchumi. Kaa kimya tu usijichoreshe
 
ni upendo, ufahari, uzalendo, utambulisho na protection kua na picha au kua katika picha na Dr.Samia Suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania wote na kiongozi madhubuti wa Taifa letu.

Ni muhimu kuona fahari kwa baraka hiyo alotujalia Mungu kama Taifa :NoGodNo:
Kwa akili hizi, Tanzania haitakuja kuendelea.
 
Hakuna unachojuwa kuhusu uchumi na michango ya sekta mtambuka katika kujenga uchumi. Kaa kimya tu usijichoreshe
Mkuu bado unazidi kupotea:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, pigia simu ndugu na jamaa usije kupata stroke kwa uchungu🥺🥺
 
Yes,
utaendelea kushenyentwa na mihemko na makasiriko yako hadi akili ikukae sawa gentleman :pedroP:
Akili imkae sawa yeye au wewe mwenye mko na mgombea comediani hadi chama kimeona amekuwa mchekeshaji :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:
 
Saa100 ndondo cup !
😄
Mama mama mama mama

Ova
 
Back
Top Bottom