Hawa jamaa kwa networks wako njemaView attachment 3695942
Oktoba 21, 2026, Ujumbe wa CHADEMA ukiongozwa na Katibu Mkuu wa chama, John Mnyika, ukiwa na Mwanasheria Mkuu, Dk Rugemeleza, na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, umekutana na Balozi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu, Eleanor Sanders pamoja na Balozi wa Uingereza, Marianne Young.
View attachment 3695943
Soma pia: Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania
Katika mazungumzo hayo, ujumbe wa CHADEMA umewasilisha hali ya haki za binadamu nchini, ukiangazia masuala mbalimbali yanayohusu demokrasia, utawala wa sheria na haki za kisiasa.
View attachment 3695944
ok🐒View attachment 3695942

Hivi hili beberu Bado lipo ufipa?Hawa jamaa kwa networks wako njema
Hilo Tapeli tuHivi hili beberu Bado lipo ufipa?
KweliHawa jamaa kwa networks wako njema
wanajisumbua tu, kama beberu anafaidika na waliopo madarakani basi chadema wataambulia tu ufadhili ili kuzidi kupigisha shot ila hakuna la maana..
kwamba nilichoandika ni uongo au ukweli ndo umekuchoma... huo upande wa Lucas na wenu wote ni wale wale, wote ni vibaraka wa watu na bila wao hamuwezi fanya lolote...Sasa unalia nini? Au na wewe ni Lucas uliyechangamka?
Hahaha Vitalu ni hatari sanawanajisumbua tu, kama beberu anafaidika na waliopo madarakani basi chadema wataambulia tu ufadhili ili kuzidi kupigisha shot ila hakuna la maana..