A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi kutokwenda kama ipasavyo.
TUNAOMBA IDARA HUSIKA IICHUNGUZE KWA KINA IDARA YA AFYA YA MBOGWE NA CHANGAMOTO NI KAMA IFUATAVYO:
1. Upendeleo katika mafunzo kazin(SEMINA), wanajirudia walewale kila mara na wakienda hawatoi mrejesho wa watumishi wenzao hali hii sio nzuri watu wanaenda semina kwaajir ya masilahi yao binafsi.
2. Maamuzi ya kifedha kufanyika bila kufuata taratibu za serikali na bila kushilikishwa kwa watumishi wengine.
3. Watumishi kufokewa mbele ya wagonjwa
4. Kusainiwa pesa za posho bila mhusika kujua,au unakuja kusikia tu kuna fedha zimelipwa kwa watu baadhi na wengine hawajipwa na kazi wamefanya.
5. Matumizi ya fedha kutangulizwa kuwa masilahi binafsi,yaan wameshajiwekea kila hela ikija niyamanufaa yao wengine hawapewi.
6. Malipo kutokupitia mifumo rasmi ya serikali.
7. Idara ya afya ichunguzwe malipo yote yaliyofanyika, kuna baadhi hawajawahi kulipwa fedha na nihaki yao na niwafanyakazi na kwanini malipo yapitishwe yana watu wachache na wengine majina yao yasiwemo na ni idara moja.