Uongozi wa juu wa CCM unaenda kubadilika tutegemee maendeleo zaidi na zaidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT.

Katibu mkuu atakuwa mpya

Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya.

Yawezekana hata makamu wa mwenyekiti bara na visiwani wakawa wapya

Mambo ni fire.

Maendeleo hayana vyama
 
Hivi Tanganyika kwanini haitaki kufanya serikali ya mseto kama kule visiwani Zanzibar? Hata mitaani kuna majirani wanatupa upinzani kwenye maisha yetu binafsi sasa itakuwaje kwenye serikali ya vyama vingi haitaki kushirikiana na wapinzani?. Anae kukosoa leo utamshukuru kesho atakae kusifia( Khamis Kigwagalla) leo atakutukana kesho.


Mbuzibee 🐐
 
Ccm hata ibadirike mara 1000 hata wabadirishe rangi,fikra zao ni zile zile,tusitegemee chochote Watz niwanong'oneze
 
Umekunywa gongo ya kijani kibichi ? Makamu wa rais bara na visiwani ndio utumbo gani tena huko Lumumba?
 
Ccm wachumia tumbo hawezi kuwa mpya hata siku moja
 
Wairudishe Ile Miamba ya Siasa zisizo za Mabavu iliyokuwepo Awamu ya Nne
 

 
Kama mambo ni fire si tutaungua??
 
Safi sana, tunataka Katibu Mkuu aliyesoma Chuo Chetu cha YOHANA UNIVERSITY.
 
Nice
 
CCM na safu mpya Mangula na Shein pia waomba kupumzika....kazi ipo nadhani Shein atakubaliwa ila sio Mangula .....avute vute kidogo ...labda Mkuchika aombwe awe Makamu Mwenyekiti hapo sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…