Uongozi wa kitaifa, unafanya kazi chini ya kiwango?

Uongozi wa kitaifa, unafanya kazi chini ya kiwango?

Inabidi mama mwenyewe arudi nyuma na aone alikosea wapi.
Unapompandikiza mtu wazo la kula kwa urefu wa kamba, kugombania mali ndani ya himay yake ni fair game,
100% correct halafu anasema inaonekana nawadekeza 😃 kama mama mwenye nyumba anavyobembeleza wanae maana anachofanya sasa ni kuhangaika kuwatoa na kuwapeleka sehemu nyingine hii nchi tabu sana
 
Kuna shida. MaDC na Wakurugenzi hawaelewani. MaRC na RAS hawaelewani, Mawaziri na Makatibu Wakuu wao hawaelewani. Na labda mazaa na Kattanga(kwa sababu naye ametolewa) walikuwa hawafahamiani.
Ni laana au nini?
na bado
 
Hivi Wakuu, Kiongozi anaposema kuleni Kwa Kamba zenu, unategemea Waziri, Naibu, KM, NKM , wataelewana ??.

lakini kama wote Lugha ingekua Moja, kama wote Kwa pamoja wangekubali kuichukia Rushwa, tungefika mbali sana.

Kama una video Rasis Samia, akichukia Rushwa waziwazi, naomba uniwekee hapa !!.
Nchi imejaa majangili tupu
 
100% correct halafu anasema inaonekana nawadekeza 😃 kama mama mwenye nyumba anavyobembeleza wanae maana anachofanya sasa ni kuhangaika kuwatoa na kuwapeleka sehemu nyingine hii nchi tabu sana
Hivi siasa ya kuwaunganisha ili kuwa pamoja si inabidi CCM ndio waiunde?
 
Back
Top Bottom