Uongozi wa kitaifa, unafanya kazi chini ya kiwango?

Inabidi mama mwenyewe arudi nyuma na aone alikosea wapi.
Unapompandikiza mtu wazo la kula kwa urefu wa kamba, kugombania mali ndani ya himay yake ni fair game,
100% correct halafu anasema inaonekana nawadekeza πŸ˜ƒ kama mama mwenye nyumba anavyobembeleza wanae maana anachofanya sasa ni kuhangaika kuwatoa na kuwapeleka sehemu nyingine hii nchi tabu sana
 
Kuna shida. MaDC na Wakurugenzi hawaelewani. MaRC na RAS hawaelewani, Mawaziri na Makatibu Wakuu wao hawaelewani. Na labda mazaa na Kattanga(kwa sababu naye ametolewa) walikuwa hawafahamiani.
Ni laana au nini?
na bado
 
Nchi imejaa majangili tupu
 
100% correct halafu anasema inaonekana nawadekeza πŸ˜ƒ kama mama mwenye nyumba anavyobembeleza wanae maana anachofanya sasa ni kuhangaika kuwatoa na kuwapeleka sehemu nyingine hii nchi tabu sana
Hivi siasa ya kuwaunganisha ili kuwa pamoja si inabidi CCM ndio waiunde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…