luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani.
Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na mashabiki, wakiwaaminisha mashabiki wao eti wana kwenda kupindua meza.
Siyo sahihi kuwa na kujiamini kupitiliza, maana msije mkakutana na matarajio tofauti kabisa. Na nimeona leo mashaniki wa Yanga wengi wanajifariji na matokeo ya TP Mazembe dhidi ya Viperz kisa tu eti walicheza nao.
Binafsi naweka akiba ya maneno, nasubiria hiyo saa 10 usiku.