luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kwaiyo unataka wawaambie kwamba wanaenda kufungwa ama washatolewa sio? Mpira auko ivyo mnavyofikiria mbumbumbu wa simba acheni dk 90 ziamue, Ayo mengine pelekeni umbumbuni ukoKatika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani.
Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na mashabiki, wakiwaaminisha mashabiki wao eti wana kwenda kupindua meza.
Siyo sahihi kuwa na kujiamini kupitiliza, maana msije mkakutana na matarajio tofauti kabisa. Na nimeona leo mashaniki wa Yanga wengi wanajifariji na matokeo ya TP Mazembe dhidi ya Viperz kisa tu eti walicheza nao.
Binafsi naweka akiba ya maneno, nasubiria hiyo saa 10 usiku.
Hakuna haja ya kusubiri DK 90 Kwa timu bovu hilo. Lishatoka .Kwaiyo unataka wawaambie kwamba wanaenda kufungwa ama washatolewa sio? Mpira auko ivyo mnavyofikiria mbumbumbu wa simba acheni dk 90 ziamue, Ayo mengine pelekeni umbumbuni uko
Kwahiyo wasijiamini wakapaki basi?Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani.
Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na mashabiki, wakiwaaminisha mashabiki wao eti wana kwenda kupindua meza.
Siyo sahihi kuwa na kujiamini kupitiliza, maana msije mkakutana na matarajio tofauti kabisa. Na nimeona leo mashaniki wa Yanga wengi wanajifariji na matokeo ya TP Mazembe dhidi ya Viperz kisa tu eti walicheza nao.
Binafsi naweka akiba ya maneno, nasubiria hiyo saa 10 usiku.
Ambazo zilishinda nyumbani zinaelekea kutolewa ugenini. Kama ilivyotarajiwa kuwa matokeo mazuri ni nyumbani mara nyingi.Kwahiyo wasijiamini wakapaki basi?
Kwahiyo ulitaka waseme tumekuja huku Khartoum kufungwa Ili wakufurahishe wewe?
Hakuna mtu anajifariji kwa matokeo ya tp mazembe lakini watu wanaona inawezekana,timu za Nigeria ambazo zilishinda nyumbani zote zinaelekea kutolewa.
Mpira bado sio rahisi kutabirika ndo mana kampuni za michezo ya kubashiri zipo.
Halafu hamtaki kukubali kuwa Vipers wamefuzu wakiwa nyumbani. Wala hamtaki kuelewa kuwa timu zilizofuzu ugenini ni za waarabu na zilikuwa na mtaji wa goli moja. Hamtaki kukubali kuwa timu zilizifuzu ugenini ziko kundi la ubora sawa na Al Hilal.Ambazo zilishinda nyumbani zinaelekea kutolewa ugenini. Kama ilivyotarajiwa kuwa matokeo mazuri ni nyumbani mara nyingi.
Unaposema "hamtaki" unamaanisha akina nani?Halafu hamtaki kukubali kuwa Vipers wamefuzu wakiwa nyumbani. Wala hamtaki kuelewa kuwa timu zilizofuzu ugenini ni za waarabu na zilikuwa na mtaji wa goli moja. Hamtaki kukubali kuwa timu zilizifuzu ugenini ziko kundi la ubora sawa na Al Hilal.
Badala ya kuiwazia timu yako, unaiwazia Yanga! Ukisikia uma.laya wa kwenye mpira, ndiyo huu sasa.Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani.
Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na mashabiki, wakiwaaminisha mashabiki wao eti wana kwenda kupindua meza.
Siyo sahihi kuwa na kujiamini kupitiliza, maana msije mkakutana na matarajio tofauti kabisa. Na nimeona leo mashaniki wa Yanga wengi wanajifariji na matokeo ya TP Mazembe dhidi ya Viperz kisa tu eti walicheza nao.
Binafsi naweka akiba ya maneno, nasubiria hiyo saa 10 usiku.
Wewe na uto wenzioUnaposema "hamtaki" unamaanisha akina nani?
Umetumia maandishi gani yaliyofanya ufikie hitimisho kuwa mimi ni hiyo timu uliyoitaja?Wewe na uto wenzio
Shabiki wa uto huwa hawezi kujificha. Ujinga na maswali ya kijinga humfichua tuUmetumia maandishi gani yaliyofanya ufikie hitimisho kuwa mimi ni hiyo timu uliyoitaja?
Sawa.Shabiki wa uto huwa hawezi kujificha. Ujinga na maswali ya kijinga humfichua tu