Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika.
Chunguza utanielewa!!
Chunguza utanielewa!!
Haufanani kabisa yaani ni tofautiKwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika.
Chunguza utanielewa!!
Sio China tena na Urusi na Korea Kaskazini .Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika.
Chunguza utanielewa!!
Kamanda umeamkia ugimbi, au! Unataka tuchunguze nini? Kwa ufupi tu, Marekani na Tanzania hazifanani kwa chochote.Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika.
Chunguza utanielewa!!
Wewe sasa ndiyo umekunywa maboso. Hakuna mahali nimeandika kuwa tunafanana na Marekani.Kamanda umeamkia ugimbi, au! Unataka tuchunguze nini? Kwa ufupi tu, Marekani na Tanzania hazilingani kwa chochote.
Kamanda bado hausomeki. Kwa hiyo uongozi wa sasa wa Trump unaufananisha na huu wa Samia? Mbona ni mbingu na ardhi!Wewe sasa ndiyo umekunywa maboso. Hakuna mahali nimeandika kuwa tunafanana na Marekani.
Nilichosema ni kuwa uongozi unaokuwepo madarakani kule Marekani hufanana pia na uongozi unaokuwepo madarakani Tanzania.
Unafanana hebu angalia hii video halafu tutaendeleza mjadala.Kamanda bado hausomeki. Kwa hiyo uongozi wa sasa wa Trump unaufananisha na huu wa Samia? Mbona ni mbingu na ardhi!