Hawa viongozi au Marais wawili Rais Samia (Chifu Hangaya) na Rais Hussein, kwa kweli sijaona jipya ambalo litamtufaisha raia, nikimaanisha vijana na wazee kuajiriwa.
Kama kuna mtu analijua aliweke hapa, unakodisha kunajengwa mahoteli, mahoteli ambayo mengine ni marufuku kwa raia wa Kitanzania kusogea au kufunga nanga, waajiriwa sidhani kama watakuwa ni WaTz katika mahoteli hayo.
Kusema faida utajenga hospitali na shule je itakuwa bure? Jambo gani wanalolifanya watu Marais hawa wawili na Serikali zao kuinua kipato, au mwananchi aweze kujipatia kipato au kuajiriwa?
Tunaona gaidi sasa masoko yote anayapiga moto, hii ni ajabu yeye yupo rumande na wenziwe. Hivi halijengwi soko jipya mpaka liungue?
Watu wawili hawa sasa wanazidi kupiga makelele kuijaza Tanzania wawekezaji ambao, eti ajira zitakuwa za kuchagua anayetaka kulima atalima na anaetaka kuchunga atachunga.
Kwanini makelele yao yanazidi? 2025 haipo mbali, kwa hiyo si shwari tena, wanarapu ahadi kedekede, mikakati baada ya miaka 50 ndio ahadi zao.
CCM na Serikali zao hawana jipya.