Hatukumtaka.Mdhiri tu kawashinda boss dalali wa pikipiki
Akpan anatosha mudhahil wa nini mwanathiimba mwenzangu.Hatukumtaka.
Dada mbona mkali sana halafu ukali wenyewe wa sindano nyuma uzi unaingia tartiiibu !!!!Mbu mama ako sheik
Wanachokijua ni kucheza uchi na kupakuana vinyesi kwenye vinyeo wasikuangaishe kichwa.Ww hujui mpira bali unaongozwa na mihimko mtu anaye jua mpila hawezi kushauri timu imuache kiungo kama kanuti.
We unafikiri Yule anaecheza kombe la loser atapata hata point Moja kwenye kundi lake?Mkifikisha point sita Kundi lenu niite Ashusha mtamu
Umeongea point sana tunaendekeza ushabiki wa kijinga sadio Sawa anatusaidia sababu2 hatuna natural 6 ila sadio hpana kwa kweL noHaujui mpira boss kanoute mara mia Thadeo lwangwa au James kotei
Shida kubwa mnaona kila anaeiponda Simba ni yanga
Cognitive skills zenu ni zero