Uongozi wa Simba acheni kushupaza shingo

Uongozi wa Simba acheni kushupaza shingo

Mkifikisha point sita Kundi lenu niite Ashusha mtamu
We unafikiri Yule anaecheza kombe la loser atapata hata point Moja kwenye kundi lake?
20220920_154536.jpg
20220920_154416.jpg


Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Haujui mpira boss kanoute mara mia Thadeo lwangwa au James kotei

Shida kubwa mnaona kila anaeiponda Simba ni yanga


Cognitive skills zenu ni zero
Umeongea point sana tunaendekeza ushabiki wa kijinga sadio Sawa anatusaidia sababu2 hatuna natural 6 ila sadio hpana kwa kweL no
 
Back
Top Bottom