Uongozi wa Simba fanyeji usajili wa mshambuliaji (readmade) sio huyu mzungu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan

Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
 
Hapo Simba kuna viongozi wana kamasi kwenye ubongo
Hata kama we si mtu wa mpira,ni rahisi tu kujua utopolo wa kocha na dejan
 
Kila jambo linawakati wake, Simba imeporomoka katika ubora Kwa kiasi kikubwa sana.
 
Hapo simba tumepigwa bora mugalu.

Mzungu kweli au kajichubua huyu?
 
Leo kwa zile v pass kama kungekuwa na striker wa maana mtu angekufa 7 leo.
 

Tatizo la Simba tunafanya utani wakati wenzetu wapo serious. Mzungu ni Kama msanii tu. Kama Leo anapewa mpira wa kufunga anajigonga mguu au anapewa pasi nzuri anakuwa hayupo eneo la tukio.
 
Amini nawaambieni,matatizo ya simba ni mawili 2.

1 Kiungo mkabaji (DM)

2 Style ya uchezaji. Simbawanacgeza sana (muda mwingi ) pass za nyuma na flat passes. Hata akiketwa Nani pale mbele hakuna kitu unless hilo walifanyie marekebisho
Bora wee umegundua hilo
 

Muzungu yupo vizuri
 
Tatizo la Simba tunafanya utani wakati wenzetu wapo serious. Mzungu ni Kama msanii tu. Kama Leo anapewa mpira wa kufunga anajigonga mguu au anapewa pasi nzuri anakuwa hayupo eneo la tukio.
Utazani Yikpe hahahaha
 
Watu wameweka matarajio makubwa sana kwa huyo Dejan kisa ngozi yake.

Naye pia ni binadamu tu wa kawaida hana maajabu yeyote.
 
Amini nawaambieni,matatizo ya simba ni mawili 2.

1 Kiungo mkabaji (DM)

2 Style ya uchezaji. Simbawanacgeza sana (muda mwingi ) pass za nyuma na flat passes. Hata akiketwa Nani pale mbele hakuna kitu unless hilo walifanyie marekebisho
Ukweli mtupu!!! Timu yetu haipush kwenda mbele,muda mwingi mpira unachezwa na mabeki na viungo wakipokea mpira bado wana turn kurudishwa kwa mabeki. Kitendo kinachopelekea strikers kukosa service...utamlaumu vp striker wakati humpelekei mipira??? Ona Moses phiri analazimika kudrop chini kuja kufuata mipira!! Why??? Ni kwasababu hapelekewi mpira
 
Kiukweli sijui ni ubahili au nini? Kweli tusubirie wakati soon tuna mashindano hivi karibuni?
Hata kama mzungu anatakiwa, awepo striker mwingine, tusijidanganye mzungu kwa sasa ni hamna kitu hata kama anacho. Ndugu yetu Ahmed Ally asitoe matumaini ambayo hayapo, awe mkweli tuna shida ya Striker na namba sita. Hao wanatakiwa kutafutwa ndani siku hizi 13 tulizobaki
 
Asante, unautazama mpira kwa jicho la kiufundi. Umemaliza kila kitu.
 
Simba wanacheza mchezo wa kukaririshwa, V pass hata kama mtu kakabwa inalazimishwa weee hadi unasema wanaakili kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…