Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
weka uthibitisho kwamba hii picha ni wachezaji wa simba.
Duh, ila hapo sio 'changing room'
Mkuu tutaendelea kukimbilia kusajili Wabrazil mpaka mtukome! Hizi ndio Academy za Kibongo.Duh, ila hapo sio 'changing room'
Hahahaha ,asee ,na M Brazil lzm umpatie apartment Masaki au oysterbay , hakai Sinza yule wala kino , chumba sebuleMkuu tutaendelea kukimbilia kusajili Wabrazil mpaka mtukome! Hizi ndio Academy za Kibongo.
Wako pamoja Jana si wamecheza mechi mkoani huko ,ila hao nadhani ni wale under 20Hapo ni wapi?
Simba kwani bado ipo pamoja au kambi yao ishavunjwa baada ya msimu kuisha?
Kwa hiyo waliovaa jezi nyekundu wowote ni wachezajiwa simba...muulize tangu lini simba wameanza kuvaa iyo jeziDuh, ila hapo sio 'changing room'
Tangu lini simba wameanza kuvaa hizo jezi....kwa hiyo ukiokota picha yoyote hata za UMISETA za wachezaji waliovaa red basi ni wachezaji wa simba??
Kwa hiyo Mo ameshasalimu amri kwa mzee Kilomoni? Mbona kakubali kirahisi hivyoTimu alishapewa kilomoni , sasa tulitarajia nini!! Hakuna swala la kulaumu cha msingi ni kukubali matokeo.. Hapa sasa walioko nyuma ya mzee kilomoni wanapaswa kutoa majibu kwanini hali ipo hivo. Wale wote wanaopinga mabadiliko nahisi huu ndio muda wao wa kuwajibika. Timu kilomoni washaachiwa simba sisi wapenda mabadiliko nahisi we are done, tumeamua kujiweka pembeni ili mfumo ulokuwepo zamani uendelee!! Kama ulikuwa timu ya mzee kilomoni hupaswi kumlaumu kiongozi yeyote yule, huu ndio muda wako wa kuleta mabadiliko unayohisi yanafaa
sawa mzee kilomoniHuu uongozi wetu ukiwasikia wanavyojitutumua kwenye media utawajua wana mipango thabiti kweli kumbe janja tu
View attachment 1134184
Wachezaji wa Simba wakilala chumba kimoja watu zaidi ya ishirini na kula kwa mama ntilie
Hii ndio Simba ya kisasa tujaondanganywa na yule bilionea?
Naona mnahangaika ionekane sisi ni bakuli kama Yanga. Hiyo picha ni madogo wa umishumita mwaka janaOKW BOBAN SUNZU aibu hii