Uongozi wa Simba hii ni sawa?

Uongozi wa Simba hii ni sawa?

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Huu uongozi wetu ukiwasikia wanavyojitutumua kwenye media utawajua wana mipango thabiti kweli kumbe janja tu
IMG_20190622_091003.JPG

Wachezaji wa Simba wakilala chumba kimoja watu zaidi ya ishirini na kula kwa mama ntilie
Hii ndio Simba ya kisasa tujaondanganywa na yule bilionea?
 
Hao ni under 20 hawana shida,ukifika
Muda wao watainjoi, akina mkude,kaheza,singano nk walianzia huko ila sahivi wanafaidika na uvumilivu wao.

Hata jeshini kuruti anahangaika kwanza ila baadae ndo anaanza kuona raha ya jeshi, so sishamgai sana
 
Timu alishapewa kilomoni , sasa tulitarajia nini!! Hakuna swala la kulaumu cha msingi ni kukubali matokeo.. Hapa sasa walioko nyuma ya mzee kilomoni wanapaswa kutoa majibu kwanini hali ipo hivo. Wale wote wanaopinga mabadiliko nahisi huu ndio muda wao wa kuwajibika. Timu kilomoni washaachiwa simba sisi wapenda mabadiliko nahisi we are done, tumeamua kujiweka pembeni ili mfumo ulokuwepo zamani uendelee!! Kama ulikuwa timu ya mzee kilomoni hupaswi kumlaumu kiongozi yeyote yule, huu ndio muda wako wa kuleta mabadiliko unayohisi yanafaa
 
Kwa hiyo Mo ameshasalimu amri kwa mzee Kilomoni? Mbona kakubali kirahisi hivyo
 
Back
Top Bottom