Uongozi wa Simba kuna haja ya kubadili kit supplier

Uongozi wa Simba kuna haja ya kubadili kit supplier

Ndio jamaa anakosea ila usisahau Silent ocean ni Pete na kidole na GSM na mzee wako mstafu ni GSM damu usitegemee Ata siku moja jezi za yanga eti zitakwama njiani Vunja bei anakomaa mwenyewe Kwa Kila tu.
Sijaona mahusino ya GSM na kukwama kwa jezi za Venja Bei. JK kuwa Uto kusaidia mzigo kufika kwa wakati kunakwamisha jezi za Simba Sc?!

Huyu Fred atakuwa anafanya biashara kihuni bila menejimenti. Sidhani kama ana watalaam wa Procurement and Logistics. Atakuwa anatumia machawa
 
MoDewji ndio kajificha kwa jina la vunjabei, kwa hiyo hili suala ni kama ngumi ya Ndoige, unashitaki kwa uongozi, halafu uongozi ndio unahusika na Dili lote
Sasa kama mo ni biashara yake anapata faida gn kama jezi haziuzwi kwa wakati?
 
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni

Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
Hivi ni lazima kutolewa jezi za kimataifa?
 
Wapiga kelele wengi si wanunuzi wa Jezi, nimeona hata Yanga ile siku ya kwanza vurugu tupu kutaka kuwahi, lakini baada ya siku ya pili waliziacha zinazagaa mpaka kwenye Nyumba ya jirani hapo baada ya Makao Makuu ya Yanga zimetundikwa kwenye kamba.
 
.
FB_IMG_1676459007988.jpg
 
Kwamba kanjibai hana connection ya kusaidia mzigo ufike haraka
Ana biashara kubwa zilizomfanya awe na utajiri wa trilioni 3.4 so hawezi kuhangaika na biashara ya jezi za bilioni 2 kama GSM
 
Sijaona mahusino ya GSM na kukwama kwa jezi za Venja Bei. JK kuwa Uto kusaidia mzigo kufika kwa wakati kunakwamisha jezi za Simba Sc?!

Huyu Fred atakuwa anafanya biashara kihuni bila menejimenti. Sidhani kama ana watalaam wa Procurement and Logistics. Atakuwa anatumia machawa
Mkuu hii ndio sababu atleast ina make sense. Jamaa hana team ya wataalamu wa Logistics kama kweli jezi zimekwama tena mwaka huu ingawa inaweza kuwa kamba hata kusafiri bado hazijaanza.

Nashangaa huyo United ya Ferguson analeta sababu za kitoto sana.
 
Wapiga kelele wengi si wanunuzi wa Jezi, nimeona hata Yanga ile siku ya kwanza vurugu tupu kutaka kuwahi, lakini baada ya siku ya pili waliziacha zinazagaa mpaka kwenye Nyumba ya jirani hapo baada ya Makao Makuu ya Yanga zimetundikwa kwenye kamba.
Hatuzungumzii kununua tunazungumzia upatikanaji. mfano leo ukitaka jezi ya yanga mpya utapata ila simba hata kama hela unayo huwezi kupata.
 
Hatuzungumzii kununua tunazungumzia upatikanaji. mfano leo ukitaka jezi ya yanga mpya utapata ila simba hata kama hela unayo huwezi kupata.
Inawezekana pia ikawa ni mchezo wa kibiashara unachezwa kati ya Simba na M-Bet, kwamba wachezaji wanalazimika kuvaa jezi za Visit Tanzania lakini mashabiki ambao hawalazimiki kuzivaa basi itawalazimu wavae jezi za M-Bet.

By the way, huwa hakuna ulazima wa jezi mpya katikati ya msimu
 
Wapiga kelele wengi si wanunuzi wa Jezi, nimeona hata Yanga ile siku ya kwanza vurugu tupu kutaka kuwahi, lakini baada ya siku ya pili waliziacha zinazagaa mpaka kwenye Nyumba ya jirani hapo baada ya Makao Makuu ya Yanga zimetundikwa kwenye kamba.
Watu walikosoa uzuri wa jezi utafikiri wana maslahi katika jezi hizo, wengine tena ni Yanga lila lia kabisa. Walipoona Simba huko Guinea wana jezi kama 6 na zote kali wakapotezea kama hawaoni vile.
 
Kwa level ya Simba sio yakufanya huu ubabaishaji, haiwezekani mtu huyuhuyu kila siku anachrlewesha jersey, ifike sehemu watu wababaishaji watoke hii tunafanya Simba ionekani yakisanii
 
Back
Top Bottom