Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10.
Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko Kimataifa.
Akaenda Namungo alichoweza ni kujaza Warundi wenzake 6 akina Nahimana, Bigirimana, Nzigamasabho, Kwizera nk kwa Upendeleo na Ukabila wao timu ikayumba sana, akaingia Morroco Namungo ikaenda Kimataifa.
Akaenda Mtibwa akawavuruga weeeee wameishia kukarbia kushuka daraja msimu huu. Kwa masikitiko makubwa haka ka Bwana majungu kameletwa Simba. Jumapili kamehojiwa na media kanasema Simba imeuza Wachezaji muhimu wawili Chama na Miq hivyo tusitegemee mambo makubwa kama misimu iliyopita.
Mara paaap kamewapa mchongo Warundi wenzake EAGLE NOIR kuja kucheza gemu ya kirafiki na Simba! Tayari hapa unaona Uongozi wa Simba umeanza kuingizwa kwenye 18 za huyu Mnafiki na Mkabila. Kama kweli angetanguliza weledi mbele tungealika WAGANDA BINGWA WA KAGAME CUP 2021 waje tujipime lkn kwa upuuuzi tumewaleta hao mataptap.
Hii siyo dalili njema Mam...ae zake tusipostuka Mapema Mwakani sajili 3 tutaletewa Warundi waje kula Pensheni pale Msimbazi kama KAZE alivyowafanya UTO kwa FISTON na NTIBA.
Vilabu vikubwa Simba na Yanga hizi sio zama za Makocha Warundi maaana Wanatanguliza UKABILA zaidi ya Weledi.
SIMBA NGUVU MOJA tupaze sauti huyu Mnafiki aondoke zake pindi Da Rossa atakapopata vyeti 😭😭😭😭