Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

Huna chochote katika uandishi wako patapotea tu wewe
Ni lini na Wewe utasifiwa, utakubalika na thamani yako hapa JamiiForums kuonekana kama ilivyo Kwangu The King GENTAMYCINE?

Tafadhali ukiwa unajibu pia jitahidi usome mara mbili mbili Yeremia 1:19 sawa?
 
Ni lini na Wewe utasifiwa, utakubalika na thamani yako hapa JamiiForums kuonekana kama ilivyo Kwangu The King GENTAMYCINE?

Tafadhali ukiwa unajibu pia jitahidi usome mara mbili mbili Yeremia 1:19 sawa?
blaa blaa blaa. Unasifika kwa matusi tu yasiyo mapya hapa jukwaani ovyoo
 
Sawa mimi ni hasimu wako lakini naomba tuungane kwenye tatizo la kitaifa la UMEME.Fatilia ujue nani anaihujumu TANESCO,Kwanini mama hana usemi wowote juu ya hili janga.Kilala kheri mfukunyuzi
 
The King hapa ndipo umuhimu wako unaonekana , jukwaa la michezo linarudi kwenye hadhi yake asante.
Wabongo kwa udaku, umbea, uzushi, mpo vizuri. Unapenda sana hizo mambo ndio maana unaona kama kuna kitu kimepungua kwako.
 
Ifikie wakati sasa ubadilike, stori zako uwe unazileta zikiwa na uthibitisho. Yaani umeshindwa hata kutupia picha ya huyo Adebayor na Manzoki wakiwa na mmoja wapo wa viongozi wa Simba au umeshindwa hata kuleta picha au clip za hao wachezaji wakiwa uwanja wa ndege.
 
kwakweli pasaka bya benchika itakuwa akiwa si kocha wa timu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…