GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo?
Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa.
Hivyo basi baada ya kuona Pumzi ya Kocha Mgunda imeanza Kuisha GENTAMYCINE nauomba haraka mno Uongozi wa Simba SC umlete Kocha Mkuu wa Viwango vya Kufundisha Simba SC na huyu Kocha Mgunda awe Msaidizi wake huku Matola ama akitemwa kabisa au apelekwe kwa Vijana (Simba B)
Ni bora tuachwe Alama (Points) Tano (5) hizi na Azam FC au Namungo FC au hata Ihefu FC ila siyo Yanga SC ambao Wanaujua Umafia wetu na wana Watu wa Mafia hasa kwa Mechi za Ndani (NBC Premier League)
Kwa hii Sare ya leo dhidi ya Singida Big Stars FC leo na Gap sasa kuwa Points (Alama) Tano (5) na ninavyowajua Yanga SC tena leo wakiwa wanaenda Kutolewa CAFCC na Club Africaine huko nchini Tunisia wakirudi watakuwa na Hasira na Ubingwa na naona kila dalili za Wao (Yanga SC) kuwa Mabingwa tena hata kwa Msimu huu.
Nimekereka mno na Matokeo ya leo.