Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kumkubali Mgunda na wala sijawahi kuelewa anafanya nn Simba.Sasa jamani mbona makocha wetu hatuwakubali....mbona mechi za kimataifa ametoboa. Sasa inakuwaje tena tunasema uwezo binafsi wa wachezaji. Ata pep anashinda kutokana na uwezo wa wachezaji bwana.
Sii mnakumbuka utopolo walivyokuwa na wachezaji kama akina molinga walivyokuwa wanapigwa tuu na mikia. Quality ya wachezaji muhimu sana maana ata mbinu za kocha zinahitaji ubora na ubunifu wa wachezaji
Sasa mnayo hela ya kilipa $40,000 koccha mkuu peke yake.?Sijawahi kumkubali Mgunda na wala sijawahi kuelewa anafanya nn Simba.
Mo awache ubakhili.
Atafute kocha wa maana na anunuwe wachezaji.
Ile Simba hata kocha akiwa Mimi au wewe,,
Ingefika pale ilipo..
Kuweni wazalendo jamani. Makocha wazawa wapewe nafasiMatola na Mgunda hatatufikisha popote
Wapo makocha wazuri tu,Sasa mnayo hela ya kilipa $40,000 koccha mkuu peke yake.?
Mgunda kataka kuishusha daraja coast union,Kuweni wazalendo jamani. Makocha wazawa wapewe nafasi
Kuisho clastal vipi jamani wakati alocheza final ya fa cupMgunda kataka kuishusha daraja coast union,
Still anapewa Simba fc..
Hii ni tatizo kubwa sn.
Mgunda ni sawa na kisa cha mganga PAZI,,
lakini hana uwezo wowote.
Tusidanganyane bwana ukitaka shinda champions league kocha chini ya hiyo hela unabahatisha tuu.Wapo makocha wazuri tu,
Hapa Africa na kwenginepo hawafiki 40$ kiwango hicho.
Wakati coast union inacheza finally FA,Kuisho clastal vipi jamani wakati alocheza final ya fa cup
Si walisema Matola ndiye matatizo!? Kelele za nini?Boli halitembei tena jamani🤣🤣🤣🤣
Acheni zenu bwana mgunda bonge moja la kocha...pep mnene yule.
Walikuwa wanamvizia Nabi wakijua ataharibu kule tunisia afukuzwe na wao wapite nae lakini misheni yao imeferi Nabi kibarua chake kiko salama wataanza kutafuta kocha baada ya mechi ya yanga ya jana kupita utaona heka heka zinaanza rasmiKocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo?
Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa.
Hivyo basi baada ya kuona Pumzi ya Kocha Mgunda imeanza Kuisha GENTAMYCINE nauomba haraka mno Uongozi wa Simba SC umlete Kocha Mkuu wa Viwango vya Kufundisha Simba SC na huyu Kocha Mgunda awe Msaidizi wake huku Matola ama akitemwa kabisa au apelekwe kwa Vijana (Simba B)
Ni bora tuachwe Alama (Points) Tano (5) hizi na Azam FC au Namungo FC au hata Ihefu FC ila siyo Yanga SC ambao Wanaujua Umafia wetu na wana Watu wa Mafia hasa kwa Mechi za Ndani (NBC Premier League)
Kwa hii Sare ya leo dhidi ya Singida Big Stars FC leo na Gap sasa kuwa Points (Alama) Tano (5) na ninavyowajua Yanga SC tena leo wakiwa wanaenda Kutolewa CAFCC na Club Africaine huko nchini Tunisia wakirudi watakuwa na Hasira na Ubingwa na naona kila dalili za Wao (Yanga SC) kuwa Mabingwa tena hata kwa Msimu huu.
Nimekereka mno na Matokeo ya leo.
Nonsensical.We jamaa utakuwa ni house girl.Huna kazi? Wewe imekuwa mtu kuandika utumbo tu humu jamvini kila wakati.
Bado Siku chache tu nyote ( wote ) mtakuwa ni Team GENTAMYCINE sawa? Nimebarikiwa Shani ( Tunu ) nyingi mno na sana na Mwenyezi Mungu.Unaona mbali sana we popoma