Uongozi wa Simba SC msituzingue tafadhali tunamtaka Kocha mpya upesi Mgunda hamna Kitu na ni Samjo Samjo tupu

Sijawahi kumkubali Mgunda na wala sijawahi kuelewa anafanya nn Simba.

Mo awache ubakhili.

Atafute kocha wa maana na anunuwe wachezaji.

Ile Simba hata kocha akiwa Mimi au wewe,,
Ingefika pale ilipo..
 
Sijawahi kumkubali Mgunda na wala sijawahi kuelewa anafanya nn Simba.

Mo awache ubakhili.

Atafute kocha wa maana na anunuwe wachezaji.

Ile Simba hata kocha akiwa Mimi au wewe,,
Ingefika pale ilipo..
Sasa mnayo hela ya kilipa $40,000 koccha mkuu peke yake.?
 
Kuweni wazalendo jamani. Makocha wazawa wapewe nafasi
Mgunda kataka kuishusha daraja coast union,
Still anapewa Simba fc..


Hii ni tatizo kubwa sn.

Mgunda ni sawa na kisa cha mganga PAZI,,
lakini hana uwezo wowote.
 
Mgunda kataka kuishusha daraja coast union,
Still anapewa Simba fc..


Hii ni tatizo kubwa sn.

Mgunda ni sawa na kisa cha mganga PAZI,,
lakini hana uwezo wowote.
Kuisho clastal vipi jamani wakati alocheza final ya fa cup
 
Wapo makocha wazuri tu,
Hapa Africa na kwenginepo hawafiki 40$ kiwango hicho.
Tusidanganyane bwana ukitaka shinda champions league kocha chini ya hiyo hela unabahatisha tuu.
 
Kuisho clastal vipi jamani wakati alocheza final ya fa cup
Wakati coast union inacheza finally FA,
Kwenye ligi alikuwa nafasi ya ngp?
Kama sio mkiani?


Mgunda ni mganga PAZI.

Ipo hadithi ya bwana mmoja alijifanya mganga anaitwa Pazi.

Mwisho wa siku akafanyiwa majaribio ya uganga wake na mfalme.
Na akapewa angalizo akishindwa majaribio atakatwa kichwa..

Ni story ndefu lakini naifanya fupi.

Siku ya tukio watu walijaa kiwanjani,
kushuhudia nguvu za mganga PAZI,,
mganga PAZI alikuwa na majuto na masikitiko Kwa kujuwa leo ndy mwisho wa maisha yake..
Hakuwa na nguvu zozote wala uganga wowote,
Ni maisha magumu ndy yalimfanya aombe kazi ya uganga kwa mfalme.


Jamaa walifunika kitu na kapu akaambiwa mganga PAZI aseme ndani ya kapu Kuna nn?

Mganga PAZI alikaa Kwa majuto na kukata tamaa ya maisha yake,
" mwisho akatamka Kwa sauti MASIKINI MIMI PAZI."

Jamaa waliokuwa karibu na mganga PAZI wakapayuka Kwa sauti kapata kapata.

Kumbe kweli lile kapu lililofinikwa alifunikwa mdudu PANZI.
wao walijuwa mganga PAZI amesema PANZI.

Basi mganga PAZI akaonekana bonge la mganga,
Kumbe magirini matupu.

Hii story ni Mgunda mtupu.
Hamna kocha humo.
 
Wakati wa Usajili Mo Alijitoa.....

Simba Haina wachezaji ndio maana ilihusishwa na wachezaji zaidi ya kumi na ikaishia kuwakosa wooote.

1.Bambala.
2. MANZOKI.
3.Bobosi.
4.Azizi K
5.Adebayor
6
Orodha ni Ndefu sanaaaaa!

WACHEZAJI MIZIGO.
Banda. .................... .Boko
Sackho. ................... .Nyoni.
Okwa. ............... ...Gadiel.
Dejan. ....................... Mwenda.
Kanute. ......................... Kyombo.
(Akpan)
Onyango.
 
Mgunda mechukua muda mrefu sana kufanya sub ya kumtoa Kibu licha nafasi zote alizopoteza, anaonesha hajiamini na ni mzito wa kuchukua maamuzi.
 
Walikuwa wanamvizia Nabi wakijua ataharibu kule tunisia afukuzwe na wao wapite nae lakini misheni yao imeferi Nabi kibarua chake kiko salama wataanza kutafuta kocha baada ya mechi ya yanga ya jana kupita utaona heka heka zinaanza rasmi
 
We jamaa utakuwa ni house girl.Huna kazi? Wewe imekuwa mtu kuandika utumbo tu humu jamvini kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…