Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

Nilikuwa nakuona hamnazo ila sikuwa na uhakika, lakini kwa sasa nimejiridhisha 100% kuwa wewe ni mental case.
Please, ungewahi matibabu ungekuwa umeisaidia jamii isiendelee kula haya matango pori unayosambaza.
 
Kuamini upuuzi anaoandika huyu taahira lazima ujitoe akili, watoto wanakuamini ujinga unaoandika kwasababu wana upeo mdogo kama wako.

Mtu anaedai Simba SC ilichukua ubingwa kwa kuhonga waamuzi, aulizwe kwanini msimu uliopita haikuchukua ubingwa, au haikuwa na pesa za kuwahonga hao waamuzi? ni mjinga tu atamuamini popoma.

Au tuwekee hizo transactions tuone mlivyokuwa mkiwahonga hao waamuzi, kama ni za simu au bank account, siku zote huna ushahidi unapenda umbea tu na kuropoka.
 
Hii ndiyo Bajeti ya Kuhonga kwa Mafarasi Watatu Tanzania.....

1. Simba SC ( Tsh Bilioni 2 )
2. Yanga SC ( Tsh Bilioni 3 )
3. Azam FC ( Tsh Bilioni 8 )

Yusuf Bakhressa kasema sasa basi!!!!
 
Nilikuwa nakuona hamnazo ila sikuwa na uhakika, lakini kwa sasa nimejiridhisha 100% kuwa wewe ni mental case.
Please, ungewahi matibabu ungekuwa umeisaidia jamii isiendelee kula haya matango pori unayosambaza.
Nadhani huu Ushauri wako Kwangu ungeuanzia Kwanza kwa Mama yako ambaye linamsumbua tokea ulipokuwa Tumboni mwake.
 
Nasubiri jibu la Swali langu Kuntu Kwako kuwa je, unaweza Kutwa ( 24/7 ) kuwa unamchukia GENTAMYCINE ( tena kwa Kumponda na Kumshambulia ) halafu hapo hapo tena ukawa Unamfuatilia kila anachokiandika mpaka kupata muda kama huu wa Kujibizana nae?
 
Awali Ahmed Ally alisemà Simba haiwezi kutambulisha Wachezaji usiku kama Wanga. Ghafla Jana akasema atatangaza usajili SAA 9 usiku.
Sikishangaa Kwa sababu nilishaandika Ally wa Sasa ni msanii tu kama Manara.
 
Nasubiri jibu la Swali langu Kuntu Kwako kuwa je, unaweza Kutwa ( 24/7 ) kuwa unamchukia GENTAMYCINE ( tena kwa Kumponda na Kumshambulia ) halafu hapo hapo tena ukawa Unamfuatilia kila anachokiandika mpaka kupata muda kama huu wa Kujibizana nae?
Wazungu wanakwambia.. "he who alledges must prove"

Lakini wewe mjinga unakuja na shutuma nyingi huku bila ushahidi wowote, wewe ni popoma tu, na kukujibu ni lazima huwezi kuachwa upotoshe.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hazihongwi timu. Wanahongwa waamuzi.
 
Hazihongwi timu. Wanahongwa waamuzi.

Hii ndiyo Bajeti ya Kuhonga kwa Mafarasi Watatu Tanzania.....

1. Simba SC ( Tsh Bilioni 2 )
2. Yanga SC ( Tsh Bilioni 3 )
3. Azam FC ( Tsh Bilioni 8 )

Yusuf Bakhressa kasema sasa basi!!!!
Kumbe aliyetenga b.2 ndo anakwenda kugombania nafasi ya 4 na 5 na wakina singida big stars, ihefu, geita gold na Namungo🤣🤣🤣 b.26 za M.bet zimeshindwa kuongezea bajeti🤓🤓🤓
 
Msimu uliopita tajiri yenu alizidiwa maarifa alikuwa akihonga 100 wenzake wanaweka 300 akapigwa KO na uzuri walikuwa washamjua janja zake, ukiongeza na ubahili wake ndo akasambaratishwa kabisaaaaa
 
Kwa hivyo wewe kama mwanasimba sc unakiri mlihonga na kununua mechi misimu minne iliyopita?

Unanunuaje mechi mkuu? Kwamba wachezaji wakifika uwanjani walale chini sisi tufunge tu magoli? Au ni wote tunacheza mpira?
 
Sasa kumbe yanayoendelea ndani ya klabu unayajua ulikeshaje? Kama nawe unakesha kusubiri Dili hewa basi huna la kujigamba nalo wewe ni mtabiri TU huna unachokijua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…