Uongozi wa Simba SC tunaomba Taarifa za wapi alipo sasa Kibu Denis

ulishawahi kuwa na passport lakini? unajua ina page ngapi? kwa safari za taifa stars, safari na simba, unafikiri atakuwa hajajaza passport? binafsi sio mchezaji ala yeyote ila tangu 2007 hadi leo nimeshajaza passport 3.
Ok ikijaa inamaana hupati tena si ndio.
 
Ok ikijaa inamaana hupati tena si ndio.
unafanya mchakato wa kupata mpya, na inaweza kuchukua wiki sio chini ya 3 hapahapa bongo (kwa uzoefu wangu), sembuse kama upo nje? manake kama yupo marekani itabidi wazitengenezee bongo wamtumie kule.
 
ulishawahi kuwa na passport lakini? unajua ina page ngapi? kwa safari za taifa stars, safari na simba, unafikiri atakuwa hajajaza passport? binafsi sio mchezaji ala yeyote ila tangu 2007 hadi leo nimeshajaza passport 3.
Itakua passport yake imejaa ghafla
 
Back
Top Bottom