Ok ikijaa inamaana hupati tena si ndio.ulishawahi kuwa na passport lakini? unajua ina page ngapi? kwa safari za taifa stars, safari na simba, unafikiri atakuwa hajajaza passport? binafsi sio mchezaji ala yeyote ila tangu 2007 hadi leo nimeshajaza passport 3.
Boss mchezaji asiye na nidhamu wanini sasa. Mie sikufurahishwa na ujumbe wake kule twitter. Simba hawakupaswa ku renew mkataba wa huyu pimbiNa mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
unafanya mchakato wa kupata mpya, na inaweza kuchukua wiki sio chini ya 3 hapahapa bongo (kwa uzoefu wangu), sembuse kama upo nje? manake kama yupo marekani itabidi wazitengenezee bongo wamtumie kule.Ok ikijaa inamaana hupati tena si ndio.
Mbumbumbu mna hali mbaya sana MNALILIA STREKA LA GOLI MOJA MECHI 50?Na mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
Kwamba katemana nao hahaha.
Ngoja waje kukupopoa na wawe...Kwamba katemana nao hahaha.
Pole yao sana wanathiiiimbaaa
🕺💪😁Ngoja waje kukupopoa na wawe...
Itakua passport yake imejaa ghaflaulishawahi kuwa na passport lakini? unajua ina page ngapi? kwa safari za taifa stars, safari na simba, unafikiri atakuwa hajajaza passport? binafsi sio mchezaji ala yeyote ila tangu 2007 hadi leo nimeshajaza passport 3.