Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

Waganga wa yanga wako morogoro, hata manara huwa anakuja sana huku akitaka kumpiga hela GSM, au kumfunga Injinia asimfute kazi pale yanga kwa kuwa hana analofanya, content zake zimebaki za kuoa tu.
Wanachinja mbuzi na visomo vingi kule Kinole, kinapigwa kisomo mpaka moshi unaanza kutoka bila kuwasha moto.

Baadae yanapigwq makufuru ya kufa mtu
Duuuuh
 
Simba kuweka uwanja wa nyumbani Moro ni sawa na Yanga waweke uwanja wao Tanga,

Haraka sana maamuzi yafanyike
Mpira una matokeo 3,muwe mnakubali kufungwa,mna uspecial gani hadi timu lenu likifanya vibaya lazima mtafute kichaka cha kujifichia aibu yenu!
 
Ila Yanga wanajikutagaaaa...nyie wenyewe viwanja vya mikoani vinawatoa nyaa...kagera mkalazimisha sare ya refa..mkwakwani mkapata goli dkk ya 90.. mbarari mkapata kipigo cha 2 kwa 1...n.k n.k
Hapa mnajifanya nye nye nye nyeeeee
 
Back
Top Bottom