Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:
1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani?
2. Kwa nini wachezaji wake wote aliowapanga jana walinywea kama ugali wa bada na kupelea mzee wa kutetema kutokugusa mpira kwa dakika zote 90 alizocheza?
3. Kuhusu wachezaji wa Kikongo, hawa wanatuhumiwa kucheza chini ya kiwango ili kumuokoa Kocha Ibenge ambaye ni Mkongomani mwenzao asitemeshwe kibarua.
Kikao bado kinaendelea.
Ndiyo maana wakongo wa yanga waliamua kumsaidia asitupiwe virago jana.Ibenge hana maisha marefu hapo Sudan, yani Al Hilal wanacheza mpira wa kawaida sana.
🚮Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:
1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani?
2. Kwa nini wachezaji wake wote aliowapanga jana walinywea kama ugali wa bada na kupelea mzee wa kutetema kutokugusa mpira kwa dakika zote 90 alizocheza?
3. Kuhusu wachezaji wa Kikongo, hawa wanatuhumiwa kucheza chini ya kiwango ili kumuokoa Kocha Ibenge ambaye ni Mkongomani mwenzao asitemeshwe kibarua.
Kikao bado kinaendelea.
Sawa. Basi wewe utuonyeshe hiyo meza mliopindua kule sudan.