Uongozi wa Yanga FC wafundisheni Wachezaji wenu Kula na Kujisaidia Kistaarabu na Kizungu si kama walivyofanya jana pale Serena Hotel

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Jitahidi kila mara kumuomba Kocha wenu Mwinyi Zahera kuwa akiwa anamaliza Kuwapa Mazoezi ya Uwanjani Wachezaji wake basi awe pia anawaingiza Darasani ili awafundishe pia namna ya Kula Chakula na Kujisaidia Kistaarabu tofauti na walivyofanya Jana.

Nimekutana Wafanyakazi kadhaa wa hapo ( Majina yao nayahifadhi ) huku wengi Wao wakiwa wamefura / wamekasirika kabisa huku wakisema kuwa jana Wachezaji wa Yanga FC wengi Wao wakati wanakula wamedondosha sana Vyakula Sakafuni, huku wengine wakilamba na kukomboleza Sahani zao waziwazi kwa Ulimi na kwamba yupo Mchezaji Mmoja kwa Ugeni wake wa mambo haya ambayo Wachezaji wa Simba FC wameshayazoea kwa ' Ushamba / Umbwigira ' wake alimimina Pilipili iliyosagwa katika Glasi akidhani ni Juice ya Passion na hadi hivi sasa inasemakana hajitambui na sina uhakika kama hata Mechi mbili zilizobaki atacheza kwani kwa Uroho wake uliotukuka ' aliibugia ' ile Pilipili yote ambayo hivi sasa inafanya Kazi yake vyema tu Tumboni Kwake.

Hiyo Tisa / Kenda na Kumi ni kwamba hadi hivi sasa kuna baadhi ya Wafanyakazi wa hiyo Hoteli wamegoma Kusafisha Vyoo / Maliwato yaliyotumiwa na Wachezaji wa Yanga FC kwani inasemekana kwa ' Kufakamia ' Kwao Vyakula ambavyo hawajavizoea kama vilivyozoeleka na Wachezaji wa Simba FC wengi Wao wameacha ' Mizigo ' isiyovumilika katika Maliwato / Vyoo vya Hoteli hiyo ila ' Mizigo ' iliyoacha gumzo ' Kiharufu ' ni ya Tambwe, Kaseke, Kindoki na Kidooooooogo cha Papaaa Mutu ya Watu Kocha Zahera.

Na nyie wenye hiyo Hotel haya mmejitakia wenyewe Watu wamezoea kwenda Kulala na Kustarehe Hoteli za Tandale na Manzese leo kweli mnawaalika hapo ' Uzunguni ' Kwenu nyie si mmejitakia tu hii Karaha? Siku zingine kwenye hiyo Hoteli yenu waalikeni tu Wachezaji wa Simba FC ammbao wanajitambua na wanaishi ' Kizungu ' tu kwa muda mrefu sasa na ambao kwa mujibu wa Wafanyakazi wengi wa Hoteli Kubwa Kubwa za Tanzania wamekuwa wakiwasifia kuwa ni Wastaarabu mno.

Wewe Bichwa tu la Tambwe liko Kubwa vile sasa unadhani akiteremsha ' Mzigo ' wake Maliwatoni / Chooni huko kutakuwaje? Poleni sana na mno Wafanyakazi wa hiyo Hotel na bado hamjachelewa kupeleka Malalamiko yenu Shirikishoni ili kufanyike Utaratibu wa Yanga FC kupigwa Faini ili Siku zingine wajifunze na ikibidi wabadilike pia.

Nawasilisha.
 
Tambwe anaendesha VX.. Wewe ist stop meenn (Chris Tucker voice) Tambwe kaenda Turkey two times acha kujifariji
 
Hivi we jamaa comedy umejifunzia wapi

Ipo Damuni Mkuu hasa kwa Kurithi kutoka kwa ' Mzazi ' wangu na Marehemu Mjomba wangu na nashangaa kwanini siitumii na kuwa ' Serious ' nayo iniingizie Kipato na Initajirishe kama wengine huku Umasikini ukiwa unanitawala Kila Uchao / Siku.
 
ila hawakufanya kama walivofanya simba na kocha wao julio guest house kule songea

Kwa Desturi ya Kiafrika huwa hatukumbushii mambo yaliyotokea Miaka Mitano iliyopita bali huwa tunakumbukia mambo ya sasa ( Current ) sawa? Nenda pale Hotelini ukasaidiane na Wafanyakazi Kulisukuma ' Zigo ' la Tambwe kwani tokea jana ile hadi muda huu bado wanahangaika nalo tu na ' Haliflashiki ' Mkuu.
 
we ulienda kufua shuka za gesti!!?
 
Jitahidi kila mara kumuomba Kocha wenu Mwinyi Zahera kuwa akiwa anamaliza Kuwapa Mazoezi ya Uwanjani Wachezaji wake basi awe pia anawaingiza Darasani ili awafundishe pia namna ya Kula Chakula na Kujisaidia Kistaarabu tofauti na walivyofanya Jana.

Nimekutana Wafanyakazi kadhaa wa hapo ( Majina yao nayahifadhi ) huku wengi Wao wakiwa wamefura / wamekasirika kabisa huku wakisema kuwa jana Wachezaji wa Yanga FC wengi Wao wakati wanakula wamedondosha sana Vyakula Sakafuni, huku wengine wakilamba na kukomboleza Sahani zao waziwazi kwa Ulimi na kwamba yupo Mchezaji Mmoja kwa Ugeni wake wa mambo haya ambayo Wachezaji wa Simba FC wameshayazoea kwa ' Ushamba / Umbwigira ' wake alimimina Pilipili iliyosagwa katika Glasi akidhani ni Juice ya Passion na hadi hivi sasa inasemakana hajitambui na sina uhakika kama hata Mechi mbili zilizobaki atacheza kwani kwa Uroho wake uliotukuka ' aliibugia ' ile Pilipili yote ambayo hivi sasa inafanya Kazi yake vyema tu Tumboni Kwake.

Hiyo Tisa / Kenda na Kumi ni kwamba hadi hivi sasa kuna baadhi ya Wafanyakazi wa hiyo Hoteli wamegoma Kusafisha Vyoo / Maliwato yaliyotumiwa na Wachezaji wa Yanga FC kwani inasemekana kwa ' Kufakamia ' Kwao Vyakula ambavyo hawajavizoea kama vilivyozoeleka na Wachezaji wa Simba FC wengi Wao wameacha ' Mizigo ' isiyovumilika katika Maliwato / Vyoo vya Hoteli hiyo ila ' Mizigo ' iliyoacha gumzo ' Kiharufu ' ni ya Tambwe, Kaseke, Kindoki na Kidooooooogo cha Papaaa Mutu ya Watu Kocha Zahera.

Na nyie wenye hiyo Hotel haya mmejitakia wenyewe Watu wamezoea kwenda Kulala na Kustarehe Hoteli za Tandale na Manzese leo kweli mnawaalika hapo ' Uzunguni ' Kwenu nyie si mmejitakia tu hii Karaha? Siku zingine kwenye hiyo Hoteli yenu waalikeni tu Wachezaji wa Simba FC ammbao wanajitambua na wanaishi ' Kizungu ' tu kwa muda mrefu sasa na ambao kwa mujibu wa Wafanyakazi wengi wa Hoteli Kubwa Kubwa za Tanzania wamekuwa wakiwasifia kuwa ni Wastaarabu mno.

Wewe Bichwa tu la Tambwe liko Kubwa vile sasa unadhani akiteremsha ' Mzigo ' wake Maliwatoni / Chooni huko kutakuwaje? Poleni sana na mno Wafanyakazi wa hiyo Hotel na bado hamjachelewa kupeleka Malalamiko yenu Shirikishoni ili kufanyike Utaratibu wa Yanga FC kupigwa Faini ili Siku zingine wajifunze na ikibidi wabadilike pia.

Nawasilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbumbumbu fc tangu wapate ufadhili wa moo basi mtaani hatunywi maji! Wameshasahau ya kuwa Yanga imekula maisha kwa miaka yote hii na hakuna jambo jipya kwao kula hotel za nyota 5!

Msimu ujao ndiyo utakuwa wa mwisho kwenu kupanda ndege kabla ya kurudi mlikotoka maana huyo moo wenu hataweza kushindana na "matajiri lukuki" waliopo yanga ambao wapo mbioni kuweka "mzigo" wa kutosha kwa ajili ya usajili.
 
Back
Top Bottom