Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi.
Pole sana brother Mashaka ila usikate tamaa na usilalamike sana as if ni haki yako ila club ina wajibu wa kutenda haki pale inapo amua kutoa offer kwa mashabiki vinara.