Uongozi wa Yanga uhusike na kulipa gharama zote za kuharibu mechi ya Derby iliyotakiwa kufanyika hivi leo. Uhuni kwenye soka haukubaliki

 
Tupate mwongozo mapema
 
Nlijua tu kuna siku simba itaogopa kuleta timu uwanjani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we huku pakome, huku Aziz, kule max kudadadeki hapa mzize alafu katikati khalid wasikimbie mchezo nini ?
 
Thibitisheni kama hao mnaosema waliwazuia Simba ni Yanga
 
Mkuu, kwani ile siku Namungo wamepata kadi nyekundu ya dhuluma walisusia mechi? ,

Sababu za nje ya uwanja hazina uhusiano na kususia mechi
Hili swali kama huna akili timamu huwezi kulijibu. Kuvunjwa Kanuni moja hakuhalalishi kuvunjwa Kanuni nyingine, wasijielekeze vibaya.
 
Nlijua tu kuna siku simba itaogopa kuleta timu uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we huku pakome, huku Aziz, kule max kudadadeki hapa maize alafu katikati khalid wasikimbie mchezo nini ?
Wee nae sasa hawa walikua wapi pindi wanaondoshwa ktk kabu bingwa?

Uozo mtupu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mpira wa Tanzania wa hovyo, simba wajitoe tu kwenye ligi wawaachie ligi yao.Imejaa upangaji matokea,watu fulani kuingilia maamuzi ya uwanjani hovyo kabisa. Safi Simba
Bora useme viongozi wa TFF wajitoe kwenye uongozi kuliko Simba. Kumbe hujajua kwamba Simba ni dude kuuunwaaa
 
Wee nae sasa hawa walikua wapi pindi wanaondoshwa ktk kabu bingwa?

Uozo mtupu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kama uozo mbona simba hawataki kuleta timu ? Matokeo mabovu kwenye mpira ni matokeo tu, lakin kwakuwa hatukufuzu haimaanishi Yanga ni wa bovu kivile, kama Yanga mbovu sana njooni, ninyi si mlifuzu njoeni tuwakague mlifuzu vipi
 
Hizi timu za Simba na Yanga zinataka kudumaza soka la Bongo. Tulikuwa tumeshapiga hatua kwenda mbele, naona wanataka kuturudisha nyuma.
 
Wewe nawe kama alivyosema MANARA bado upo kwenye kundi la waliokosa akili
 
Yaani asuse Makolo alafu fidia alipe Yanga? πŸ˜‚ Akili yako ipo sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…