Uongozi wa Yanga uhusike na kulipa gharama zote za kuharibu mechi ya Derby iliyotakiwa kufanyika hivi leo. Uhuni kwenye soka haukubaliki

Simba wakienda kucheza leo ntawaona nao hawana wanachosimamia.
Huu upuuzi inabidi ufike mwisho hapa Tz,tufuate taratibu na sheria tulizojiwekea!

Mpira sio vita, ni undugu na urafiki,walichokifanya jamaa jana pale ni kudhalilisha si mpira tu wa Tz na kutudhalilisha woote.

Binafsi nimesikitishwa na hili na mpira wa bongo nimeudharau kabiisa!
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒakshenyetewa BUNJU ARENA
 
Simba mmekuwa utopolo kuzidi hata Yanga. Yaani mmeogopa kucheza na Yanga mkatengeneza drama makomando feki mseme wametumwa na Yanga kuwazuia ili muingie mitini. Acheni janja janja pelekeni timu mkale kono la nyani.
 
Unaingiza timu kucheza bila kutrain?
Huko mlikokuwa kam
Unaingiza timu kucheza bila kutrain?
Huko walikokuwa siku zote walikuwa wanafanya nini?. Kwenye uwanja wa mkapa mechi kama hizi mwenyeji anakabidhiwa uwanja mnakutana tu siku ya mechi. Mzunguko wa Kwanza Simba alikuwa mwenyeji, YANGA alitokea siku ya mechi tu na mpira ukapigwa. Mikia wasitafute sababu
 
Hivi kipindi kile Yanga walivyogomea nani alilipa gharama?
 
Wewe nawe kama alivyosema MANARA bado upo kwenye kundi la waliokosa akili
Sasa Manara na mwenyekiti wenu Aden nani yuko sahihi na anawajua watu wake. Manara wakati anaongea hayo maneno alikuwa mwanasimba lakini Aden alikuwa mwenyekiti wa Simba. Alivyosema nyinyi mbumbumbu hakukosea.
 
Kweli Simba ina mashabiki mbumbumbu. Hivi umesoma walichosema bodi ya ligi? Halafu mfano Yanga ndio wamezuia mazoezi ya Simba, KANUNI ZINASEMAJE?

Hawa kina Magori muda umefika wapumzike sasa.
 
Kama uozo mbona simba hawataki kuleta timu ? Matokeo mabovu kwenye mpira ni matokeo tu, lakin kwakuwa hatukufuzu haimaanishi Yanga ni wa bovu kivile, kama Yanga mbovu sana njooni, ninyi si mlifuzu njoeni tuwakague mlifuzu vipi
Mmekiuka kanuni na taratibu, simba ikaamua idai haki yao.
Haki imeshinda!

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Club ya wahuni iyo ingefutiliwa mbali
 
Kwani kuna kifungu Cha Sheria au kanuni kinachosema wakati wa kutekeleza Sheria/kanuni au wakati wa kuvunja Sheria/kanuni utoe taarifa.
Hata ukila chakula inabidi utoe taarifa unatekeleza sheria
 
Hamuwezi kukimbia mpaka mwisho lazima mfike uwanjani siku moja leo mmekimbia magoli mengi, ukingoni panakaribia mtakuwa hamna pa kukimbilia
Kwani nyie yanga hamjawahi kuikimbia Simba
 
Kwani nyie yanga hamjawahi kuikimbia Simba
Lini ? Rather 3 March 1969 simba halftime akipigwa 3-0 alivyoenda halftime akapotelea msimbazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ . Bado tunawasubiri mtajaa kwenye mfumo tu wala hamjakimbia chochoteee...Tano ziko pale pale...
 
Sheria inasema muda kama wa mechi ila siku 1 kabla ndio mazoezi yanafanyika broo. Jitahidi uwe muelewa basi
Haisemi lazima yafanyike ila inasema ni haki ya mgeni kikanuni. Pia kuna utaratibu wake. Lazima timu husika itoe taarifa kwa mwenyeji wa mchezo, kamishna wa mchezo kuwa watautumia uwanja kwaajili ya mazoezi. Simba hawakutoa taarifa popote ili waandaliwe mazingira. Hata taarifa ha bodi inakiri hilo. Msitafute sababu za kitoto. Leo simba kawaingiza watu hasara kubwa sana. Walipe gharama zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…