Hakuna mtu mwenye mvi kama Lowassa, tena kijana. Uongo wako unaanzia hapo.
Malawi wamethibitisha wako nyuma sana kwenye nyanja nzima ya mawasiliano na utawala ndiyo maana mmeweza kufanya ujinga mliowafanyia ila hamjawaheshimu wala kuiheshimu hiyo safari kwa kiwango kama mnavyojitapa.