B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Alipatwa na nini Mkuu?Msigwa kilichomkuta Udom hata kumsimulia mkewe kashindwa
Kazomewa hadi katukanaAlipatwa na nini Mkuu?
Uwezo mdogo hawa watuSerikali ya propaganda hii!
No REFORMS No ELECTIONNo Reforms No Election
Ni maarifa hana mkuu. Hapo ndio mwisho wa uwezo wakeKiongozi mkuu anaishi kwa kiki na sifa hata zisizostahiki sasa hapo unatarajia nini??
Ukomo wa ufanisi wake unaishia kwenye sifa.
Kwa anavyopenda kutajwa na kusifiwa yupo radhi sura yake iwekwe hata kwenye toilet paper ili mradi iwe katajwa tu.
HeheeehWakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka.
Hata kesho mond na kiba watoe ngoma wala hatutaistukia upepo umechange. Na wakati huu ni wakati wa Mungu.
Moto wa nyika hauzimwi kwa mkojo.
Wakuu mwenye kujua namna ya kuripoti upuuzi unaofanywa na Yanga kule FIFA na TFF yao ili kama nikufutwa ligi ifutwe kweli tuondoe hizi timu. Timu zinajaza tu ujinga watanzania
Kapata ukweli japo amekaza fuvuMsigwa kilichomkuta Udom hata kumsimulia mkewe kashindwa
HahahaKapata ukweli japo amekaza fuvu
Hakika sote tupiganieKama tunahitaji mabadiliko hatuna budi kuongeza sauti zetu kwa kuungana kisawasawa
Arudi kwao kizimkazi tuHuyu bibi hataisahau Tanganyika hata kidogo
YAAANI UMEJICHANGANYA KAMA MAVI NA MKOJO SASA HAO WASANII WANAOTAKA KIKI NA MARA SIJUI MPIRA WA YANGA UNAHUSIANA NINI NAUONGOZI SAHIHI WA MAMA? UMEKURUPUKA KUJA KUANDIKA HAPA , NO REFOMS ON ELECTION MWEZI WA KUMI TUNA TIKIWakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka.
Hata kesho mond na kiba watoe ngoma wala hatutaistukia upepo umechange. Na wakati huu ni wakati wa Mungu.
Moto wa nyika hauzimwi kwa mkojo.
Wakuu mwenye kujua namna ya kuripoti upuuzi unaofanywa na Yanga kule FIFA na TFF yao ili kama nikufutwa ligi ifutwe kweli tuondoe hizi timu. Timu zinajaza tu ujinga watanzania
NO REFORMS ON ELECTION MWEZI WA KUMI TUNA TIKIHakika sote tupiganie
No REFORMS No ELECTION