B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
-
- #21
Wanatunga mengine ili kuizima ila ndio kwanza wana ongeza kuni moto unawaka mbayaJux na ndoa zake zilizoisha
Diamond amuoa Zuchu
Kalamu awards
Nyimbo za diamond
GwajiBoy
Simba na Yanga
Makonda na Gabo
Yote yamepita ila No Reforms No Election inazidi kupasua anga
NO REFORMS ON ELECTION OCTOBER TUNA TIKIKazomewa hadi katukana
Ukitiki wewe bumunda usie na akili ina punguza nini kwenye NO REFORMS NO ELECTION. .? wamekununulia MB za 3000 uje kutukana watu wanaotumia fikra ilhali ww unatumia njaa/tamaa na tumbo urubuniwe na ukubali kuuzwa kwa nchi yako. Very trash. Nyie ni wale tunapaswa kuwaita wapumbavu. Utiki kutekwa kuuliwa na kuuzwa kwa rasilimali za Tanganyika a u stupid..? Kama unaona hayo yotw haya husiani na mama yenu poleYAAANI UMEJICHANGANYA KAMA MAVI NA MKOJO SASA HAO WASANII WANAOTAKA KIKI NA MARA SIJUI MPIRA WA YANGA UNAHUSIANA NINI NAUONGOZI SAHIHI WA MAMA? UMEKURUPUKA KUJA KUANDIKA HAPA , NO REFOMS ON ELECTION MWEZI WA KUMI TUNA TIKI
Unatiki kufirwa..?NO REFORMS ON ELECTION OCTOBER TUNA TIKI
Hatumtaki kabisaArudi kwao kizimkazi tu
NO REFORMS NO ELECTION
Kabisa arudi zenj kwao atuachie Tanganyika yetuHatumtaki kabisa
Alikutwa na nini.alizomewa?Msigwa kilichomkuta Udom hata kumsimulia mkewe kashindwa
Hii kalamu awards ndo Ile iliisha dogo said anamtukana Maza. public .Tangu then dogo hajasikika tenaJux na ndoa zake zilizoisha
Diamond amuoa Zuchu
Kalamu awards
Nyimbo za diamond
GwajiBoy
Simba na Yanga
Makonda na Gabo
Yote yamepita ila No Reforms No Election inazidi kupasua anga
Kiki za maendeleoWakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka.
Hata kesho mond na kiba watoe ngoma wala hatutaistukia upepo umechange. Na wakati huu ni wakati wa Mungu.
Moto wa nyika hauzimwi kwa mkojo.
Wakuu mwenye kujua namna ya kuripoti upuuzi unaofanywa na Yanga kule FIFA na TFF yao ili kama nikufutwa ligi ifutwe kweli tuondoe hizi timu. Timu zinajaza tu ujinga watanzania
Yap yapKabisa arudi zenj kwao atuachie Tanganyika yetu
NO REFORMS NO ELECTION
Ee ndo ile mkuuHii kalamu awards ndo Ile iliisha dogo said anamtukana Maza. public .Tangu then dogo hajasikika tena
Unataka utufundishe ujinga..? Kamuite CAG akupe ripoti yake. Maana unakua zwazwa. Cooked info zina hasara sanaKiki za maendeleo
View: https://www.instagram.com/p/DKt3zmdOVQ7/?igsh=bWVpMzR3dTMzdmt5
Harafu umefeli wapi na kwenye nini?