KERO Uovu unaoendelea Kivinje Sekondari pamoja na dhuluma ya Afisa Elimu Sekondari Kilwa kwa Walimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Au mwamba alishikiwa kitu kidogo akapoa😂
Kama kweli aliamua kumsamehe bure kabisa ili tu asimharibie kazi yake. Huyo mzazi ni mbinguni moja kwa moja maana huo utakatifu ni level zingine
Mikoa wasiyokuwa na mwamko wa elimu kawaida,mwanafunzi anapewa mimba,wazszi wanayamaliza,au kibint ni kimalaya,uyafunga wangapi?
 
Afisa elimu wa kilwa anaitwa nani? Kama ni kweli afisa elimu anawadhulumu walimu basi anatakiwa asimamishwe kazi. Moderation na wahusika wa jamii forum pandisheni huu Uzi uwe public ili viongozi wa mamlaka ya juu waone
 
Wewe unazungumzia kilwa,! bado haujafika Masasi dc?

Yaani upigaji Ni Kama maisha ya kawaida kwa ukanda huu wa kusini.
 
Umenisikitisha sana kuacha kumuwajibisha huyo ticha anayetaka kukuchapia binti yako,mngetengeneza mtego kupata ushahidi ili akome,
Kama wewe umelea ufirauni hutakiwi kulaumu wengine kushindwa kutimiza wajibu wao
Mzee umeambiwa aliomba msamaha, utu ni kitu muhimu
 
Tafute kiongozi wa dini muaminifu mpe pesa asome visomo vya kulaani hayo matendo utaona msoto watakaokula hao wapenda pesa za watu[emoji35][emoji34]
 
Anaitwa nan ?
 
N
Ndio maana issue imeletwa hapa ijadiliwe au wewe ndie DO mwnyewe unataka kutetea usenge wako hapa?utaratibu uko hivyo sawa ila unakiukwa sasa wewe unabisha nini?
 
Kuwa tetea waalimu ni upumbavu na uzuzu.Kwanza unawezaje kumtetea mtu ambaye kudai haki yake ya msingi hawezi ? Waalimu ni miongoni mwa kada za wapumbavu.
 
Najaribu kuvuta taswira ,hapo ticha anavyoomba msamaha baada ya kugundulika analitaka tunda .

Hakika kwa hizi ngumi nazojifunza naweza piga mtu mpaka nikauwa
Mkuu, hongera Kwa kukutana na anayemtaka Binti Yako na akakiri Kisha ukamsamehe.

Binti Yako ni wakishule zaidi na mdau kafa na kuoza kwenye malango Yako.

Lazima wataoana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…