Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai.
Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa.
CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu. Hainunuliki.
Wananchi wamelitambua hili na sasa wanataka ukombozi kupitia Chadema.