Uozo, blabla na upendeleo wa wazi wazidi kuishushia hadhi Ballon d’Or

Acheni unafki nyie watu..

Tuzo ni kura za watu sasa watu wamependa kumpa kura messi nyie mnasema uozo.

Mbon kuna tuzo miaka ya hapo kati walimpa cr na messi alistaili lakn hatusema vibaya tulipongeza cr!?
Ni kura inayoendeshwa kwa takwimu siyo kwamba unachojisikia au mahaba yako.
 
Kwahiyo hata Lewa hastaili au hata Ronaldo na Messi tuzo walizo shinda nyuma zote hawastahili.

Haya TUFANYE mimi sijui, nitajie ww vigezo vyako vya mchezaji bora.
 
balon dor ni usaka.


watakwambia wewe ni shabiki wa cr7, wakati ni msema ukweli

Mtaongea sana lakini Messi anastahili, Messi ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Wachache mnaolalamika haitabadilisha chochote, tunawajuwa sana haters 🤣 siku messi akishinda huwa mnaongea sana, huyo ndiye best player ever ever....ya 8 iko njiani.
 
Ipo hivi nye Kima wa Ronaldo ingekua Tuzo wanaaagalia Magoli na assists basi Messi angekua na ballorn dor kumi mpaka sasa! Rudini nyuma 2017- 2018 .. Messi alikuwa Top scorer la liga ,to assist la liga ,best player la liga , alichukua European golden boot ! Ronaldo yeye alikuwa mfungaji bora UEFA tu basi lakini still , Ballorn dor akapewa Modric !! Kwa nini asingepewa Messi kwa kigezo cha magoli mengi kwenye msimu??
 
Mbali na hivyo Turudi nyuma 2015 -2016!
SUAREZ alikuwa Top scorer La liga ,Top assist la liga ,japo aligungana Messi ,Best player la liga , na Mfungaji bora ulaya (European golden boot) ,Ronaldo yeye alikuwa mfungaji bora uefa na top assists uefa yeye! Lakini akapewa Tuzo kwa sababu alichukua kasaidia portugal kuchukua EURO 2016! Kwa nini asipewe SUAREZ kwa kigezo cha magoli mengi?? Maana lewandowski ndicho alichomzidi Messi msimu uliopita!
 
2010 - wesley sneijder
2012 - Iniesta
2013 - Ribery
2014 - Neuer
2019- Van Dijk
2020 - Lew
2021 - lew / Jorginho

mbali na hivo hata hizo nafasi za pili na tatu walizopata messi na ronaldo na ndugu yao neymar katika baadhii ya miaka pia hawakustahiki.
2010 - sneijder, Iniesta, Milito - Messi hakustahiki hata kuwemo top 3
2011 - Messi, Xavi, Iniesta - ronaldo hakustahiki kuwemo top 3
2012 - Iniesta, pirlo, Cech / Xavi - Mesi na Ronaldo hawakustahiki kuwemo top 3
2013 - Ribery, robben, lew - Messi na ronaldo hawakustahiki kuwemo top 3
2014 - neuer, robben, ronaldo - messi hakustahiki kuwemo top 3
2015 - messi, iniesta, suarez- ronaldo na neymar hawakustahiki kuwemo top 3
2016 - ronaldo, grezman, suarez- messi hakustahiki kuwemo top 3
2017 - ronaldo, buffon, modirc - messi na neymar hawakustahiki kuwemo top 3
2019 - van dijk, Bernado Silva, messi - ronaldo hakustahiki kuwemo top 3
2021 - Jorginho, lew, benzema - messi hakustahiki kuwemo top 3
 
2010 - Messi alipewa tunzo tukiambiwa sababu amefunga magoli mengi, wakati waliozisaidia kubebesha timu zao mataji ya world cup na champion league waliambiwa mataji yalitokana na team work na sio individual na magoli ya messi ndio mafanikio ya uindividual. hili pia lilijirejea mwaka 2013 pale ronaldo alipopewa tunzo kwa kigezo kama hicho wakaachwa akina ribery na robben na kuambiwa kuwa mataji ni mafanikio ya timu ila magoli ni individual. cha kushangaza 2021 lew amekumta mabao kiroho mabaya kabisa meza imegeuza amepewa zawadi messi, bado naendelea kuitafuta sababu ya kupewa hiyo tunzo.
jengine zaidi ni pale messi aliposhinda tunzo 2015 licha ya kupitwa kwa magoli na ronaldo lakini tuliambiwa kuwa yeye ameisaidia Barca kuwa bingwa wa ulaya. Sasa swali linakuja hapa lile kombe halikua la team achivment? ilikuaje messi akapewa tunzo na wakati mafanikio ya kombe yalikua ya timu?
2012 messi alipewa tunzo licha ya kushindwa kushinda taji lolote, kigezo cha kikubwa ni kuwa alifunga magoli mengi kwenye mwaka kuliko mchezaji yoyoe. 2021 lew amelifanya hilo tukio tena likiwa sambaba na mataji ya ligi na cup za german, tukumbuke messi hakushinda kikombe chochote. Lakini kigezo cha zawadi kilibadilishwa angani aisee.
 
Mkuu una akili sawa sawa ? Takwimu za messi 2018- 2019 ,2020 - 2021 unazijua??
How come benardo silva over messi ?? Bezema over messi?? Watu kam Nyie mnapaswa kushabikia mziki wa kina Diamond na Harmonize mpira sio Size yenu!!
 
kwa mara ya kwanza katika historia ya tunzo kigezo cha mshindi kinanasibishwa na kuisaidia timu yake kubeba taji la Copa America, haijawahi kutokea kwenye historia ya tunzo mtu kushinda tunzo kwa sababu ya kuisaidia timu yake kubeba copa america hii ni mara ya kwanza kuwahi kutokea.
 
Angalia Takwimu
 
Basi tuseme alishinda balon de or 2020
 
Ronaldo alipewa Ballorn dor 2016 kwa sababu alichukua EURO! Kimagoli alimzidi nini SUAREZ??
 
sawa kabisa
 
kumbe lia lia yote hii ni kung'ang'aniza apewe lewandowski hata kama vigezo vimekataa

halafu acha kuwaita "jamaa zao" watu waliouletea mpira heshima na uchumi wa soka kuwa juu ....hao ni malegendary kuwapata kama hao tena itachukua miaka 50 mingine
 
Modric alikuwa mshambuliaji ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…