PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Nipo Mzee wangu za masikuUpo we Mtu?!
Kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Mzee wangu za masikuUpo we Mtu?!
Kitambo sana
Vigezo hivi hapaKama magoli sio kigezo je kigezo ni nini?!
.Kama magoli sio kigezo je kigezo ni nini?!
Ni kura inayoendeshwa kwa takwimu siyo kwamba unachojisikia au mahaba yako.Acheni unafki nyie watu..
Tuzo ni kura za watu sasa watu wamependa kumpa kura messi nyie mnasema uozo.
Mbon kuna tuzo miaka ya hapo kati walimpa cr na messi alistaili lakn hatusema vibaya tulipongeza cr!?
Kwahiyo hata Lewa hastaili au hata Ronaldo na Messi tuzo walizo shinda nyuma zote hawastahili.Tumia akili wewe. Kwa Takwimu za Assist na Magoli hatuta kujaga kupata mshindi wa Balloon d'or Beki au Kiungo hata siku Moja.
Just imagine una angalia Assist ,sijui most big chance missed huo c uenda wazimu kabisa Huuu😬😬. Ani wanaweka Vigezo ambavyo vina mfavor mtu Fulani. Kwa Vigezo hivyo ninge omba tu hiyoo tuzo ibadilike na iwe Tuzo ya Washambuliaji Bora na Sio Mchezaji Bora.
Maana Vigezo vingi vina base kwa Mastriker na Attack middle field pekee yao
balon dor ni usaka.
watakwambia wewe ni shabiki wa cr7, wakati ni msema ukweli
Kwahiyo hata Lewa hastaili au hata Ronaldo na Messi tuzo walizo shinda nyuma zote hawastahili.
Haya TUFANYE mimi sijui, nitajie ww vigezo vyako vya mchezaji bora.
Ipo hivi nye Kima wa Ronaldo ingekua Tuzo wanaaagalia Magoli na assists basi Messi angekua na ballorn dor kumi mpaka sasa! Rudini nyuma 2017- 2018 .. Messi alikuwa Top scorer la liga ,to assist la liga ,best player la liga , alichukua European golden boot ! Ronaldo yeye alikuwa mfungaji bora UEFA tu basi lakini still , Ballorn dor akapewa Modric !! Kwa nini asingepewa Messi kwa kigezo cha magoli mengi kwenye msimu??Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka.
Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati tofauti zimekuwa zikionesha upendeleo wa waziwazi kwa mshindi.
Na kwa miaka ya karibuni pia tulishuhudia FIFA kuachana nazo, hivyo kutoka kuitwa FIFA Ballon d’Or zikabaki tu kuitwa Ballon d’Or na makocha na manahodha wakawa hawana haki tena ya kupiga kura badala yake Ballon d’Or wapiga kura ni waandishi wa habari ambao mifano yao tunayo hata hapa kwetu.
Waandaaji wa tuzo hizi wamekubali kushikiwa akili na makampuni makubwa mawili yanaodhamini Vilabu na hata wachezaji, wote mnayajuwa sina haja ya kuyataja.
Jarida la France Football linalotoa tuzo hizo nalo limejiweka uchi wa mnyama huku likishindwa kutolea majibu maswali magumu wanayo ulizwa kila mwaka wanapo mtangaza mshindi wa tuzo hizi.
Upande wa Pili kwenye tuzo za FIFA Men Player of the Year wenyewe wapo safi na salama. Tuzo zao ni safi na washindi wao ni wale wanaostahili na sio blabla za wenzao wa Ballon d’Or.
Blabla za Ballon zilianzia pale kwa kiungo wa Inter na timu ya Taifa ya Uholanzi Wesley Sneijder ambae aliisaidia timu yake kubeba mataji lukuki yakiwemo ya Champions League, Scudetto, Coppa Italia na FIFA Club World Cup, lakini mwisho wa yote tuzo akapewa Mtu mwingine kwa vigezo kuwa wamempa huyo Mtu wao kwa kigezo cha kufunga magoli mengi.
Watu tukahoji bila kupatiwa majibu ya kwamba kwanini tuzo zilizopita alipewa Mtu kwa kuwa alishinda mataji mengi na kuachwa yule mwenye magoli mengi?
Hapakuwa na majibu ya kueleweka zaidi ya blabla tu na baada ya hapo Watu wengi wa Soka walitoa kauli kali na za kuiponda tuzo hio inayozidi kupoteza wapenzi Siku hadi Siku. Baadhi ya wachezaji walishakataa mialiko ya kwenda kwenye tuzo hio baada ya ujambazi huo wa wazi wazi.
Miaka kadhaa iliofuata wale jamaa wawili tena wakawa hawana lolote kumzidi Frank Ribery lakini cha kushangaza mwisho wa Siku akateuliwa mmoja wapo na kupewa tuzo hio huku Ribery akiondoka mikono mitupu.
Baada ya maswali kuwa mengi ikabidi France Football waseme kuwa eti sadari hii waliwaachia wapiga kura waamue na hawakutaka kuangalia vile vigezo vyao.
Lakini hali ikazidi kuwawia vigumu baada ya Watu kuanza kufuatilia kura zilizopigwa na kugundulika kuwa kuna baadhi ya manahodha walipiga kura zao kwenda kwa Mtu fulani lakini zikadondokea kwenye sanduku la Mshindi. Miongoni mwa kura hizo ilikuwa ni ya Nahodha wa Juventus Gigi Buffon.
Hapa tena France Football wakazidi kujishushia hadhi na heshima waliokuwa nayo tangu awali.
Mikanganyiko na upendeleo wa wazi ukazidi kuziandama tuzo hizi. Wakati bado Watu wakiwa wanaendelea kuvunja uaminifu na kujitoa kufuatilia tuzo hizi, waandaaji wakaja na kituko na sarakasi mpya.
Baada ya wale jamaa zao wawili kukosa vigezo vyote yaani mataji na magoli eti wakaja na porojo mpya ya Mfungaji mwenye magoli mengi kwa kalenda ya mwaka.
Watu tukahoji Kalenda ya mwaka inaingiaje kwenye maswala ya Soka ukizingatia kalenda ya mwaka imebeba misimu miwili tofauti ya Soka?
Kwa maana Ligi huwa zinaanza mwezi wa 8 na kuisha mwezi wa 5?! Safari hii hawakuwa na jibu lolote wakaamua kunyamaza kimyaa.
Msimu uliopita wale jamaa zao wote wawili walikuwa chali, hakuna aliekuwa na makombe mengi wala magoli mengi. Kwa kifupi hakukuwa kati yao hata na mwenye takwimu za kuongoza kwa kupiga madochi mengi, hivyo France Football wakaamua kujibanza kwenye kivuli cha Covid-19 hivyo kwa Mwaka huo tuzo hazitokuwepo.
Duru za Soka hazikunyamaza zikawahoji je kwani Ligi si ziliendelea na mabingwa walipatikana sambamba na wafungaji bora?!
Sasa kwanini Tuzo zisiwepo? Safari hii tena hawakujibu kitu na wakaendelea kutoa misaada kwa waathirika wa Covid -19.
Wakati France Football wanajistua wenyewe na kukimbia kwenda kujificha chini ya Meza, upande wa pili FIFA waliitoa tuzo yao ya mchezaji bora wa Mwaka kama kawaida na kumpa aliestahili Bob Lewandowsky.
Msimu huu tumeshuhudia tena matapishi kwenye ugawaji tuzo yakiendelea kama ilivyo ada. Safari hii tumeshuhudia ikitangazwa tuzo mpya eti ya Mfungaji bora.
Baada ya kutangazwa tuzo hii na kupewa Bob Lewandowsky basi wajuzi wa mambo tukazima TV kwa maana tulishajuwa wazi kuwa ile ni danganya toto tu ya kumpoza Lewa ambae ndie ana Magoli mengi kumzidi mshindi na ni mmoja kati ya Watu waliostahili sambamba na Joji ambae yeye ana Mataji mengi makubwa msimu huu kumzidi mshindi.
Mpaka sasa hakuna maelezo toka kwa waandaji wa tuzo hizo, kwanini Mtu mwenye taji moja kubwa taji ambalo linaamuliwa kwa mechi 6 tu zikiwemo dhidi ya Peru, Bolivia na Colombia ambayo haijafunga goli kwenye mechi zake 5 za mwisho apewe tuzo hio ya Ballon d’Or?!
Sijui watajitokeza au wataamua kunyamaza kama kawaida yao kwa miaka ya hivi karibuni?!
Tusubiri, ila naweka msimamo wangu kuwa tuzo hizi ziliisha thamani tangu mwaka 2007. Kilichoendelea baadae hata shetani kasema hahusiki na dhambi hizo tusimshirikishe.
Mbali na hivyo Turudi nyuma 2015 -2016!Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka.

Mkuu una akili sawa sawa ? Takwimu za messi 2018- 2019 ,2020 - 2021 unazijua??2010 - wesley sneijder
2012 - Iniesta
2013 - Ribery
2014 - Neuer
2019- Van Dijk
2020 - Lew
2021 - lew / Jorginho
mbali na hivo hata hizo nafasi za pili na tatu walizopata messi na ronaldo na ndugu yao neymar katika baadhii ya miaka pia hawakustahiki.
2010 - sneijder, Iniesta, Milito - Messi hakustahiki hata kuwemo top 3
2011 - Messi, Xavi, Iniesta - ronaldo hakustahiki kuwemo top 3
2012 - Iniesta, pirlo, Cech / Xavi - Mesi na Ronaldo hawakustahiki kuwemo top 3
2013 - Ribery, robben, lew - Messi na ronaldo hawakustahiki kuwemo top 3
2014 - neuer, robben, ronaldo - messi hakustahiki kuwemo top 3
2015 - messi, iniesta, suarez- ronaldo na neymar hawakustahiki kuwemo top 3
2016 - ronaldo, grezman, suarez- messi hakustahiki kuwemo top 3
2017 - ronaldo, buffon, modirc - messi na neymar hawakustahiki kuwemo top 3
2019 - van dijk, Bernado Silva, messi - ronaldo hakustahiki kuwemo top 3
2021 - Jorginho, lew, benzema - messi hakustahiki kuwemo top 3
Angalia TakwimuNiliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka.
Tuzo hizi kwa miaka ya mwishoni mwa 2000 hadi sasa zimekuwa zikitawaliwa na skendo nyingi huku kwa nyakati tofauti zimekuwa zikionesha upendeleo wa waziwazi kwa mshindi.
Na kwa miaka ya karibuni pia tulishuhudia FIFA kuachana nazo, hivyo kutoka kuitwa FIFA Ballon d’Or zikabaki tu kuitwa Ballon d’Or na makocha na manahodha wakawa hawana haki tena ya kupiga kura badala yake Ballon d’Or wapiga kura ni waandishi wa habari ambao mifano yao tunayo hata hapa kwetu.
Waandaaji wa tuzo hizi wamekubali kushikiwa akili na makampuni makubwa mawili yanaodhamini Vilabu na hata wachezaji, wote mnayajuwa sina haja ya kuyataja.
Jarida la France Football linalotoa tuzo hizo nalo limejiweka uchi wa mnyama huku likishindwa kutolea majibu maswali magumu wanayo ulizwa kila mwaka wanapo mtangaza mshindi wa tuzo hizi.
Upande wa Pili kwenye tuzo za FIFA Men Player of the Year wenyewe wapo safi na salama. Tuzo zao ni safi na washindi wao ni wale wanaostahili na sio blabla za wenzao wa Ballon d’Or.
Blabla za Ballon zilianzia pale kwa kiungo wa Inter na timu ya Taifa ya Uholanzi Wesley Sneijder ambae aliisaidia timu yake kubeba mataji lukuki yakiwemo ya Champions League, Scudetto, Coppa Italia na FIFA Club World Cup, lakini mwisho wa yote tuzo akapewa Mtu mwingine kwa vigezo kuwa wamempa huyo Mtu wao kwa kigezo cha kufunga magoli mengi.
Watu tukahoji bila kupatiwa majibu ya kwamba kwanini tuzo zilizopita alipewa Mtu kwa kuwa alishinda mataji mengi na kuachwa yule mwenye magoli mengi?
Hapakuwa na majibu ya kueleweka zaidi ya blabla tu na baada ya hapo Watu wengi wa Soka walitoa kauli kali na za kuiponda tuzo hio inayozidi kupoteza wapenzi Siku hadi Siku. Baadhi ya wachezaji walishakataa mialiko ya kwenda kwenye tuzo hio baada ya ujambazi huo wa wazi wazi.
Miaka kadhaa iliofuata wale jamaa wawili tena wakawa hawana lolote kumzidi Frank Ribery lakini cha kushangaza mwisho wa Siku akateuliwa mmoja wapo na kupewa tuzo hio huku Ribery akiondoka mikono mitupu.
Baada ya maswali kuwa mengi ikabidi France Football waseme kuwa eti sadari hii waliwaachia wapiga kura waamue na hawakutaka kuangalia vile vigezo vyao.
Lakini hali ikazidi kuwawia vigumu baada ya Watu kuanza kufuatilia kura zilizopigwa na kugundulika kuwa kuna baadhi ya manahodha walipiga kura zao kwenda kwa Mtu fulani lakini zikadondokea kwenye sanduku la Mshindi. Miongoni mwa kura hizo ilikuwa ni ya Nahodha wa Juventus Gigi Buffon.
Hapa tena France Football wakazidi kujishushia hadhi na heshima waliokuwa nayo tangu awali.
Mikanganyiko na upendeleo wa wazi ukazidi kuziandama tuzo hizi. Wakati bado Watu wakiwa wanaendelea kuvunja uaminifu na kujitoa kufuatilia tuzo hizi, waandaaji wakaja na kituko na sarakasi mpya.
Baada ya wale jamaa zao wawili kukosa vigezo vyote yaani mataji na magoli eti wakaja na porojo mpya ya Mfungaji mwenye magoli mengi kwa kalenda ya mwaka.
Watu tukahoji Kalenda ya mwaka inaingiaje kwenye maswala ya Soka ukizingatia kalenda ya mwaka imebeba misimu miwili tofauti ya Soka?
Kwa maana Ligi huwa zinaanza mwezi wa 8 na kuisha mwezi wa 5?! Safari hii hawakuwa na jibu lolote wakaamua kunyamaza kimyaa.
Msimu uliopita wale jamaa zao wote wawili walikuwa chali, hakuna aliekuwa na makombe mengi wala magoli mengi. Kwa kifupi hakukuwa kati yao hata na mwenye takwimu za kuongoza kwa kupiga madochi mengi, hivyo France Football wakaamua kujibanza kwenye kivuli cha Covid-19 hivyo kwa Mwaka huo tuzo hazitokuwepo.
Duru za Soka hazikunyamaza zikawahoji je kwani Ligi si ziliendelea na mabingwa walipatikana sambamba na wafungaji bora?!
Sasa kwanini Tuzo zisiwepo? Safari hii tena hawakujibu kitu na wakaendelea kutoa misaada kwa waathirika wa Covid -19.
Wakati France Football wanajistua wenyewe na kukimbia kwenda kujificha chini ya Meza, upande wa pili FIFA waliitoa tuzo yao ya mchezaji bora wa Mwaka kama kawaida na kumpa aliestahili Bob Lewandowsky.
Msimu huu tumeshuhudia tena matapishi kwenye ugawaji tuzo yakiendelea kama ilivyo ada. Safari hii tumeshuhudia ikitangazwa tuzo mpya eti ya Mfungaji bora.
Baada ya kutangazwa tuzo hii na kupewa Bob Lewandowsky basi wajuzi wa mambo tukazima TV kwa maana tulishajuwa wazi kuwa ile ni danganya toto tu ya kumpoza Lewa ambae ndie ana Magoli mengi kumzidi mshindi na ni mmoja kati ya Watu waliostahili sambamba na Joji ambae yeye ana Mataji mengi makubwa msimu huu kumzidi mshindi.
Mpaka sasa hakuna maelezo toka kwa waandaji wa tuzo hizo, kwanini Mtu mwenye taji moja kubwa taji ambalo linaamuliwa kwa mechi 6 tu zikiwemo dhidi ya Peru, Bolivia na Colombia ambayo haijafunga goli kwenye mechi zake 5 za mwisho apewe tuzo hio ya Ballon d’Or?!
Sijui watajitokeza au wataamua kunyamaza kama kawaida yao kwa miaka ya hivi karibuni?!
Tusubiri, ila naweka msimamo wangu kuwa tuzo hizi ziliisha thamani tangu mwaka 2007. Kilichoendelea baadae hata shetani kasema hahusiki na dhambi hizo tusimshirikishe.
Basi tuseme alishinda balon de or 2020Let's talk about the long, long list Robert Lewandowski's achievements and awards since 2019-20 season
- Bundesliga 2019-20
- Bundesliga 2020-21
- DFB Pokal 2019-20
- Champions League 2019-20
- DFL Super Cup 2020-21
- DFL Super Cup 2021-22
- UEFA Super Cup 2020
- FIFA Club World Cup 2020
- UEFA Best Player
- UEFA Best Forward
- Bayern Munich's Player of the Year 2020
- Germany's Footballer of the Year 2020
- Germany's Footballer of the Year 2021
- Poland's Sportsman of the Year 2020
- Poland's Footballer of the Year 2020
- European Sportsman of the Year 2020
- Bundesliga Top Scorer 2019-20
- Bundesliga Top Scorer 2020-21
- Champions League Top Scorer 2019-20
- Bundesliga Best Player 2019-20
- Bundesliga Best Player 2020-21
- FIFA Men's Best Player 2020
- World Soccer Player of the Year
- Globe Soccer Player of the Year 2020
- AS' Footballer of the Year
- Best Male Athlete of the Year by International Sports Press Association [AIPS].
- Tuttosport Player of the Year 2020
- Tuttosport Player of the Year 2021
- IFFHS World's Best Goalscorer 2020
- IFFHS World's Best Player 2020
- IFFHS World's Best Player 2021
- The Guardian's World's Best Footballer
- FIFA Club World Cup Top Goalscorer
- FIFA Club World Cup Best Player
- European Golden Boot 2020-21
The winner in our hearts [emoji3590]
Ronaldo alipewa Ballorn dor 2016 kwa sababu alichukua EURO! Kimagoli alimzidi nini SUAREZ??kwa mara ya kwanza katika historia ya tunzo kigezo cha mshindi kinanasibishwa na kuisaidia timu yake kubeba taji la Copa America, haijawahi kutokea kwenye historia ya tunzo mtu kushinda tunzo kwa sababu ya kuisaidia timu yake kubeba copa america hii ni mara ya kwanza kuwahi kutokea.
sawa kabisaMtaongea sana lakini Messi anastahili, Messi ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Wachache mnaolalamika haitabadilisha chochote, tunawajuwa sana haters 🤣 siku messi akishinda huwa mnaongea sana, huyo ndiye best player ever ever....ya 8 iko njiani.
Modric alikuwa mshambuliaji ee?Tumia akili wewe. Kwa Takwimu za Assist na Magoli hatuta kujaga kupata mshindi wa Balloon d'or Beki au Kiungo hata siku Moja.
Just imagine una angalia Assist ,sijui most big chance missed huo c uenda wazimu kabisa Huuu[emoji51][emoji51]. Ani wanaweka Vigezo ambavyo vina mfavor mtu Fulani. Kwa Vigezo hivyo ninge omba tu hiyoo tuzo ibadilike na iwe Tuzo ya Washambuliaji Bora na Sio Mchezaji Bora.