Huu mfumo nahisi utakuwa na waziri ya minoti, mwezi wa kwanza, waziri mukubwa (maana huyu cha kwanza alisambaratisha kitengo cha risk pale wizara ya noti, kumbe wana li mufumo la kukusanya minoti nje ya mufumo wa serikali). Ila mi namhurumia sana Dkt Samia, alidhani anapambana na Dkt Magufuli kumbe anapambana na wanandani wake ambao alihisi adui yao ni Dkt Magufuli kumbe ni yeye Dkt Samia na aliwasaidia tu kukamilisha kazi yao ya kumdhihaki Dkt Magufuli akiwa ktk umauti. Sasa sijui itakuwaje maana wenzake inaonekana wana minoti yeye Dkt Magufuli keshamdhalilisha na wananchi hawampendi na wenzake wapo pale wanamuangalia tu