Uozo serikalini umekithiri, mfumo wa ukusanyaji mapato ni dili la wakubwa!

Ndio maana kila siku tunasema, nchi hii ukidhibiti wizi na rushwa, Serikali inaweza kukusanya hela nyingi sana na hata hii miradi mingi inaweza kujengwa kwa hela za ndani.
Utadhibitije kwa mfumo uliopo wa rais kuteua kila mtu? Wizi na rushwa ni matokeo ya mfumo kuwa mbaya.
 
Jinsi mambo yanavyoenda Tz ni hovyo sana

Kama Lucas Mwashambwa
 
Haiwezekani mpaka sasa Dar na Mwanza hawajachunguzwa
Yaani majiji makubwa ndio kabisa
Tusubiri majibu au wanayaogopa maana ndio kwa wanene wenye vitambi
 
Nami nahisi hivyo, lazima iko namna.
Mapato illegal.hayawezi kukusanywa kirahisi hivyo.
 
aisee ni aibu kubwa babalevo na mwijaku wameliharibu taifa
 
Hivo wiki HII mwenye nchi atakuwa chimbo Gani? Naambiwa weekend alikuwa Kwa Hamo
 
Jambo hilo halipo, CCM hatuwezi ondoka, sema viongozi wabovu, wezi na wala rushwa inabidi waondoke CCM kwa njia yeyote na wafungwe
Bila wezi na Wala rushwa ccm haiwezi kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…