mwambie huyo kwani siku ile alinizingua sana hakutaka nimfundishe kwaya ikabidi niondoke niliona hakusomeki pale
Mwita Maranya mume wangu kumbe ulikuwa haujui kuwa Madame B ni boss wangu? Ni boss wangu toka zamani. Mbali na ile kazi ya kuwakilisha watu kwa pilato huwa nafanya kazi za kijamii na moja ya hizo kazi ni kutekeleza maagizo ya boss Madame B katika chama cha kusutana mtaani, tunawasuta wasumbufu wote wanaoleta fujo kwy jamii. Tumeshawahi kumsuta Mtambuzi, Bujibuji, gfsonwin (huyu kidogo atushinde maana speed yake ya kujibu ni hatari). Kuhusu usiri kati yangu na Kaizer, wala usisumbuke kuunda tume, maana itakupa matokeo kama ya zile tume za mfalme wa nyuki. Ukikutana na Bujibuji na Mamndenyi wasalimie, waambie watasubiri sana.Yani mama watoto mwaJ huyu huyu binamu yangu Madame B ndo kawa bosi wako? tangu lini?
Hahahaha...Kwa mara ya kwanza wifey nakuona unataka kuwa mkali, huu usiri wenu na Kaizer nitauundia tume.
Umeona sasa! ama kwa hakika mke mwema mtu hupata kutoka kwa Mungu. Ahsante sana Mungu kwa kunipatia mke mwema. Katika hili nawapeni poleeeeeeeeeee Bujibuji na Mamndenyi
Rafiki hivi unadhani Mamndenyi ananiumiza kichwa? Walaaaaaa, mie huyo nilishamuelewa mpango wake na Bujibuji. Yaani hao kazi yao ni kutugombanisha mie na Mwita Maranya. Siku hizi hata wazue nini hatugombani ng'oooo!na hapo umefanikiwa.... maana rafiki yangu mwaJ anavyojidaigi na huyu mtu!
mbona patachimbika!!!!!!!
Rafiki hivi unadhani Mamndenyi ananiumiza kichwa? Walaaaaaa, mie huyo nilishamuelewa mpango wake na Bujibuji. Yaani hao kazi yao ni kutugombanisha mie na Mwita Maranya. Siku hizi hata wazue nini hatugombani ng'oooo!