Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

na hapo umefanikiwa.... maana rafiki yangu mwaJ anavyojidaigi na huyu mtu!
mbona patachimbika!!!!!!!

Of all ze people hata wewe Fixed Point unamfanyia fitna rafiki yako mwaJ? basi huo urafiki wanu umeshaingia luba. Jamani mwacheni mwanamke mwenzenu afaudu ndoa yake kwakuwa hakukosea kumchagua Mwita Maranya.

Wahenga wanasema "kheri kukosea kujenga nyumba lakini sio kukosea kuchagua mke au mume"
 
Last edited by a moderator:

ukinisoma vizuri hapo wala simfanyii fitna shem, nilikuwa tu nampa taarifa ili azidishe ulinzi.....
siku hizi hamuachwi ujue, tukiona uhuru hauwafai basi tunapunguza urefu wa kamba tu
 
ulichotaka kusema wewe sema tu usihofu kitu kwani hata yeye anajua kuwa mm nimewekewa morta kwenye mdomo wangu haunaga simile; Mwita Maranya
ladyfurahia hiyo mmaneno alitusomea Mchungaji siku anatufungisha ndoa mimi na mama watoto wangu. Kwahiyo nilipoyasoma hapo kwako basi nikakumbuka mbaaaaaaaaliii...
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa Bujibuji ili akuachie mke eti,
mi simtaki ana mkono wa sweta.
Sasa Mamndenyi unanifanyia fitna ili iweje? ndoa zako unazivunja mwenyewe kisha unaanza kuvuruga na ndoa za wengine. Kwa taarifa yako mimi na mama watoto wangu mwaJ hatugombanishwi kirahisi rahisi kihivyo.

Ushauri wangu kwako mrudie Bujibuji kidogo yeye anaendana na wewe.
 
Last edited by a moderator:
ukinisoma vizuri hapo wala simfanyii fitna shem, nilikuwa tu nampa taarifa ili azidishe ulinzi.....
siku hizi hamuachwi ujue, tukiona uhuru hauwafai basi tunapunguza urefu wa kamba tu

Hii dhana ya ulinzi shirikishi naona umeielewa vizuri sana shem wangu.
 
na aliyekwambia umwite mwite kwa kumwamsha aone hapa ni nani? mm sipendi kuingilia ndoa yangu ambayo naishi vizuri tena kwa amani na laaziz wangu,
Hahahaha sasa ladyfurahia mbona unajistukia mwenyewe mpendwa, wapi mimi nimesema hii maneno unayonilisha? btw, Kwani una ugomvi na Mentor hivi karibuni?
 
Mwita Maranya nimehaongeza kilo sabu unusu! sosoliso anakusalimia.....anakuangalia tu!!!
Terms and Conditions Apply!
 
Last edited by a moderator:
kwa kwaaa kwaaaa kwaaaa tehe tehe wewe mwenyewe bestito uliona siku ile alivyokuwa atulii kazi kunitolea mimacho mtoto wa mwenzie si unamfahamu yule kh. ..............omama ulimi! umeteleza hapo ni mt, ilibidi nitimke nisijeharibu ndoa yangu bure
hahahaa yani mtambuzi hapumui mpaka amtaje ledishangilia! eti ndo anapumua! sasa mbona wote tumetajwa?!?!
 
na aliyekwambia umwite mwite kwa kumwamsha aone hapa ni nani? mm sipendi kuingilia ndoa yangu ambayo naishi vizuri tena kwa amani na laaziz wangu,

Haya nimekusoma ladyfurahia, mimi naitakia mema ndoa yenu wala sina hata chembe ya wivu pamoja na kuwa juzi ulinikimbia eti unamuwahi Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya nimehaongeza kilo sabu unusu! sosoliso anakusalimia.....anakuangalia tu!!!
Terms and Conditions Apply!

Hahahaha Paloma mwambie sosoliso asiniangalie tu bali aniamini kwamba mimi ni mlinzi imara, hata combo parre asije tu utakuwa salama kwenye mikono yangu:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom