Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

huku kwetu kuna ndege dk 45 pia kwa basi ni masaa ma6 tu nipo mjini nikitoka saa 12 saa 5 nipo dar naweza kuja na kurudi..

Haya ..........kwa hapo mie na wenzangu ndio tuna makosa.
Tuwie radhi, next time tutakushtua Kapalampya!!!!:wave:
 
Last edited by a moderator:
Haya mwanafunzi wangu Kaizer, umesomeka kikubwa na mimi.



aqm.jpg
sijakuelewa bado ndo tayari nn mana usiku silali nikilala nakuota wewe tu,

CC: My Huz's Ben Saanane & Remote.
 
Asee mkuu Mwita Maranya habari za jumapili, msiri wangu mwaJ hajambo?

Mkuu Kaizer msiri wako yuko vyema, anasikitika kuwa siku hizi umeanza kumtenga, humshirikishi kama zamani!!

Eheheeeeee...nlikuwa sijacheka tangu asubuhi!

Paloma cheka uongeze uzito, baada ya hapo msalimie sosoliso

Nimekusoma boss wangu!

Yani mama watoto mwaJ huyu huyu binamu yangu Madame B ndo kawa bosi wako? tangu lini?

Wewe Mwita Maranya mjibu mwenzio!

Hahahaha...Kwa mara ya kwanza wifey nakuona unataka kuwa mkali, huu usiri wenu na Kaizer nitauundia tume.

Hapo ndio ninapokupendea! Vigezo na masharti kuzingatiwa!

Umeona sasa! ama kwa hakika mke mwema mtu hupata kutoka kwa Mungu. Ahsante sana Mungu kwa kunipatia mke mwema. Katika hili nawapeni poleeeeeeeeeee Bujibuji na Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
yaani ww bila kunitaja roho yako haipumui mpaka unitaje?

Afu wewe ladyfurahia? sijui nilitaka kusema nini mara hii nimesha sahau ghafla...

Anyway nimeyapenda sana haya maneno, ukipenda kuniuliza kwanini, usiniulize. "Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom