Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

We uchelewe bana.........

Niko na mtoto amu mieeeeeeeeeee!!

Ameahirisha futari kwa ajili ya babu...... mniache nae jamani eeeeeee!!:smile-big:

Klasi meti Asprin unakaba sana...aisee sijawahi kuona!
Jana nilikuwa na hamu ya kumnong'oneza jambo la maana sana amu lakini hukutaka kabisa kunipa nafasi!?
 
Last edited by a moderator:
Oooyoooooo!?¤¤¤>it ure Dj himself Dactar wizzy the Time Tible Master ndani ya nyumba ,leo mikasi,visu, chemical za mahabara hazihusi tena nimeweka pembeni hivyo yani Hapanimwendo chikichi mmpumpumpa chiki mpumpa hivyo yani wajanja wote tayari wapo ndani yanyumba bila kuwasahau wanawa 92Dallars KIZOTA ze Dom City Monster
 
Hee kumbe watu humu mna pair zenu,tafadhari mnitambulishe nisijenikabambia nikafumania mie

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaa ndo unashtukia saa hizi?
Oooyoooooo!?¤¤¤>it ure Dj himself Dactar wizzy the Time Tible Master ndani ya nyumba ,leo mikasi,visu, chemical za mahabara hazihusi tena nimeweka pembeni hivyo yani Hapanimwendo chikichi mmpumpumpa chiki mpumpa hivyo yani wajanja wote tayari wapo ndani yanyumba bila kuwasahau wanawa 92Dallars KIZOTA ze Dom City Monster
 
Mbonyi shafo Palooooooooooooooooooooo!!!

Leo ndo nimejua unapenda kitambi.....

Naenda fuga nguruwe miyeeeeeeeeeeeeeeeee!!
Kumbe na wewe ODM Asprin uliona ile muvi, sikuamini macho yangu, yaani strawbery Lips ninunue mie, halafu bonge ajitwalie
Nilibaki kutumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango nisiamini kwamba Paloma amenigeuka kwa sababu sina kitambi
Nammeta kaingia LTHP kwa kasi
 
Muniwache nipumue kwenye kitambi! Wewe ulizidi mno kulalamika tunakushika sharubu na umechoka! Kelele za nini sasa? By ze way pole kwa kugonganishwa na Asprin, nliona hampumui kwapani mwa ledishangilia! Nani kaibuka mshindi sasa?
Kumbe na wewe ODM Asprin uliona ile muvi, sikuamini macho yangu, yaani strawbery ninunue mie, halafu bonge ajitwalie
Nilibaki kutumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango nisiamini kwamba Paloma amenigeuka kwa sababu sina kitambi
Nammeta kaingia LTHP kwa kasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom