Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Up-Dates From LEO TUPO HAPA PUB (LTHP) Get-Together Party..... 20/07/2013!!!!!!!

Last edited by a moderator:
Nimegoma kwenda masta. Ni lthp tu. Lakini embu Sema neno moja tu na nitafika hapo masta!
Paloma karibu Master......kila kitu kipo kasoro ''mchanga wa pwani", hebu uje nao:A S-key::help:
 
Last edited by a moderator:
Hahaha my love always Madame B....mwaah!

Mwahhh!!!!! pia nawe.
Nimekumiss sana mpenzi wangu.
Msikie Kaizer hapo juu.......
Mwahhh!!!! Mwahh!!! mwahhh!!!! My love.
ILoveYouBen.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mpwa inawezekana ID ngeni lakini watu sio wageni...au?

Mmmh sina uhakika mpwa...kama kulikuwa na mwaliko basi huenda watu qalipata mwaliko kupitia hizo IDs ndio maana kwangu naona ni wapya...halafu mpwa hivi unajua hapa JF kuna mtu kama laki na ushee ujue ni ngumu kukariri IDs zote.
 
Klasi meti Asprin unakaba sana...aisee sijawahi kuona!
Jana nilikuwa na hamu ya kumnong'oneza jambo la maana sana amu lakini hukutaka kabisa kunipa nafasi!?

Kumbe ulikuwepo mura omweito... next tym nikija lazima tuwakutanishe LTHP aiseeee!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom